Ongezea hapo kuwa ni Kenya tu ndio nchi pekee EA ambayo raia wake bado wanakufa kwa njaa
Vipi kuhusu uchumi wa Kenya, pia ni mkubwa kuliko wa nchi zote za East Africa?, hivi mtu anayeoanga matumizi makubwa kuliko uwezo wake na anategemea kuomba ili kufidia matumizi yake, na Yule abayepanga kulingana na kipato chake, nani anayepaswa kupongezwa?. Waafrica tuna safari ndefu sana ya kujitambua.Bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:
Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)
Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril ($3.2bn)
Burundi: TZS 1.9tril ($824m).
(33.1 + 21 + 7.4 + 1.9)Tril = TZS 63.4tril ($27.4bn)
Pongezi kwa Kenya, pongezi kwa rais Uhuru Kenyata kwa uongozi bora na siasa safi.
Bajeti yenu ya sisiem inategemea donors 50% alafu unakuja kuongea uharo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vipi kuhusu uchumi wa Kenya, pia ni mkubwa kuliko wa nchi zote za East Africa?, hivi mtu anayeoanga matumizi makubwa kuliko uwezo wake na anategemea kuomba ili kufidia matumizi yake, na Yule abayepanga kulingana na kipato chake, nani anayepaswa kupongezwa?. Waafrica tuna safari ndefu sana ya kujitambua.
Vipi kuhusu uchumi wa Kenya, pia ni mkubwa kuliko wa nchi zote za East Africa?, hivi mtu anayeoanga matumizi makubwa kuliko uwezo wake na anategemea kuomba ili kufidia matumizi yake, na Yule abayepanga kulingana na kipato chake, nani anayepaswa kupongezwa?. Waafrica tuna safari ndefu sana ya kujitambua.
Tanzania ndio nchi pekee ktk ukanda huu wenye budget deficit ndogo, Kenya kati ya 3.1Trl. Budget deficit ni 607.8B, hii ni sawa na 20% ya bajeti yote. Huu ni ukichaa wa hali ya juu Sana.Bajeti yenu ya sisiem inategemea donors 50% alafu unakuja kuongea uharo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole kwa maumivu kababaa 😪😪😪 nitakununulia pipi halafu nikupuleke tukamchape nyang'au aliyekukosea 😪😪😪😪Tanzania ndio nchi pekee ktk ukanda huu wenye budget deficit ndogo, Kenya kati ya 3.1Trl. Budget deficit ni 607.8B, hii ni sawa na 20% ya bajeti yote. Huu ni ukichaa wa hali ya juu Sana.
Huko afadhali hawana CCM ya kuirudisha Tz nyuma.Sasa si uhamie huko!
"For negativity to apply in your life you must first subscribe to it,and secondly , give it the energy of belief" Watu kama wewe ndio hujifariji na kujiliwaza kwa kuona tu mabaya ili utulize hisia mbaya za mapungufu yako.Ongezea hapo kuwa ni Kenya tu ndio nchi pekee EA ambayo raia wake bado wanakufa kwa njaa
Bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:
Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)
Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril ($3.2bn)
Burundi: TZS 1.9tril ($824m).
(33.1 + 21 + 7.4 + 1.9)Tril = TZS 63.4tril ($27.4bn)
Pongezi kwa Kenya, pongezi kwa rais Uhuru Kenyata kwa uongozi bora na siasa safi.
Mleta mada kumbuka bajeti inategemea vyanzo viwili vya mapato.1)mapato ya ndaniBajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:
Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)
Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril ($3.2bn)
Burundi: TZS 1.9tril ($824m).
(33.1 + 21 + 7.4 + 1.9)Tril = TZS 63.4tril ($27.4bn)
Pongezi kwa Kenya, pongezi kwa rais Uhuru Kenyata kwa uongozi bora na siasa safi.
Tz - Ksh 600b - Misahada 49% - population 60 million - GDP $60bMleta mada kumbuka bajeti inategemea vyanzo viwili vya mapato.1)mapato ya ndani
2)misaada toka nje
Ebu tuonyeshe kwa kila nchi mapato ya ndan kiasi gani na misaada kiasi gani
Actually Kenya's budget is $28bln n not $29bln!Bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:
Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)
Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril ($3.2bn)
Burundi: TZS 1.9tril ($824m).
(33.1 + 21 + 7.4 + 1.9)Tril = TZS 63.4tril ($27.4bn)
Pongezi kwa Kenya, pongezi kwa rais Uhuru Kenyata kwa uongozi bora na siasa safi.
Tz - Ksh 600b - Misahada 49% - population 60 million - GDP $60b
Ke- Ksh 1.2 trillion - Misahada 5% - population 45 million - GDP $100b
Wenzako wanaojua ukweli hutowaona hapa wako kwenye nyuzi za kujiliwaza, hawapendi ukweli au uhalisia was mambo. Natumai wewe sio moja wao.
Usiogope kutaja ya $14bln LDC😂 still half that of KenyaActually Kenya's budget is $28bln n not $29bln!
Bravo Johnny??Duuu.
Thanks JF. I can now see you have improved your analytical skill and Swahili language. Your hand writing is now matured. Bravo.