Bajeti ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya nchi zote za EAC zilizobaki, (Tanzania + Uganda + Rwanda + Burundi).

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:

Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)

Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril ($3.2bn)
Burundi: TZS 1.9tril ($824m).

(33.1 + 21 + 7.4 + 1.9)Tril = TZS 63.4tril ($27.4bn)

Pongezi kwa Kenya, pongezi kwa rais Uhuru Kenyata kwa uongozi bora na siasa safi.
 
Siasa safi zinaleta maendeleo yanayoweza kusomeka na ya kudumu,jinamizi la tz ni katiba,katiba yetu ya kikoloni imetufunga mikono na miguu hatutaweza kutoka hapa,tutapata tabu sana
 
Duh hii ni aibu kwakweli. Yani bajeti ya Kenya ni mara 2 ya ile ya Tz na chenchi juu.

Pamoja na kwamba % kubwa inaishia mifukoni mwa watu ila hii inaonesha tuko nyuma kiasi gani
 
Bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:

Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)

Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril ($3.2bn)
Burundi: TZS 1.9tril ($824m).

(33.1 + 21 + 7.4 + 1.9)Tril = TZS 63.4tril ($27.4bn)

Pongezi kwa Kenya, pongezi kwa rais Uhuru Kenyata kwa uongozi bora na siasa safi.
Vipi kuhusu uchumi wa Kenya, pia ni mkubwa kuliko wa nchi zote za East Africa?, hivi mtu anayeoanga matumizi makubwa kuliko uwezo wake na anategemea kuomba ili kufidia matumizi yake, na Yule abayepanga kulingana na kipato chake, nani anayepaswa kupongezwa?. Waafrica tuna safari ndefu sana ya kujitambua.
 
Bajeti yenu ya sisiem inategemea donors 50% alafu unakuja kuongea uharo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Your budget is 46% percent dependent on donor funding na sasa hiyo mmefungiwa, Tanzania will easily slide back to abbys
 
Bajeti yenu ya sisiem inategemea donors 50% alafu unakuja kuongea uharo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tanzania ndio nchi pekee ktk ukanda huu wenye budget deficit ndogo, Kenya kati ya 3.1Trl. Budget deficit ni 607.8B, hii ni sawa na 20% ya bajeti yote. Huu ni ukichaa wa hali ya juu Sana.
 
Pole kwa maumivu kababaa 😪😪😪 nitakununulia pipi halafu nikupuleke tukamchape nyang'au aliyekukosea 😪😪😪😪
 
Ongezea hapo kuwa ni Kenya tu ndio nchi pekee EA ambayo raia wake bado wanakufa kwa njaa
"For negativity to apply in your life you must first subscribe to it,and secondly , give it the energy of belief" Watu kama wewe ndio hujifariji na kujiliwaza kwa kuona tu mabaya ili utulize hisia mbaya za mapungufu yako.
 
Ingekuwa Tanzania chadema wangepinga ila kwa kuwa ni Kenya chadema wanapongeza, sasa nimeanza kuelewa wale wanao panga kuumaliza upinzani kwa njia yoyote ile kumbe wana nia njema tena sana na taifa hili.
Bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:

Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)

Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril ($3.2bn)
Burundi: TZS 1.9tril ($824m).

(33.1 + 21 + 7.4 + 1.9)Tril = TZS 63.4tril ($27.4bn)

Pongezi kwa Kenya, pongezi kwa rais Uhuru Kenyata kwa uongozi bora na siasa safi.
 
Bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:

Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)

Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril ($3.2bn)
Burundi: TZS 1.9tril ($824m).

(33.1 + 21 + 7.4 + 1.9)Tril = TZS 63.4tril ($27.4bn)

Pongezi kwa Kenya, pongezi kwa rais Uhuru Kenyata kwa uongozi bora na siasa safi.
Mleta mada kumbuka bajeti inategemea vyanzo viwili vya mapato.1)mapato ya ndani
2)misaada toka nje
Ebu tuonyeshe kwa kila nchi mapato ya ndan kiasi gani na misaada kiasi gani
 
Tz - Ksh 600b - Misahada 49% - population 60 million - GDP $60b

Ke- Ksh 1.2 trillion - Misahada 5% - population 45 million - GDP $100b

Wenzako wanaojua ukweli hutowaona hapa wako kwenye nyuzi za kujiliwaza, hawapendi ukweli au uhalisia was mambo. Natumai wewe sio moja wao.
 
Bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zilizosomwa Juni 13, 2019:

Kenya: TZS 67.2tril ($29.2bn)

Tanzania: TZS 33.1tril ($14.3 bn)
Uganda: TZS 21tril ($9.1bn)
Rwanda: TZS 7.4tril ($3.2bn)
Burundi: TZS 1.9tril ($824m).

(33.1 + 21 + 7.4 + 1.9)Tril = TZS 63.4tril ($27.4bn)

Pongezi kwa Kenya, pongezi kwa rais Uhuru Kenyata kwa uongozi bora na siasa safi.
Actually Kenya's budget is $28bln n not $29bln!
 
Tz - Ksh 600b - Misahada 49% - population 60 million - GDP $60b

Ke- Ksh 1.2 trillion - Misahada 5% - population 45 million - GDP $100b

Wenzako wanaojua ukweli hutowaona hapa wako kwenye nyuzi za kujiliwaza, hawapendi ukweli au uhalisia was mambo. Natumai wewe sio moja wao.

Duuu.
Thanks JF. I can now see you have improved your analytical skill and Swahili language. Your hand writing is now matured. Bravo.
 
Back
Top Bottom