Bajeti ya Kilimo imeongezeka mara nne, Rais Samia hana deni kwa wakulima

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,629
Reaction score
3,015

==
TAFITI zinaonesha umasikini wa mtanzania zaidi upo Vijijini, Rais Samia ameongeza Bajeti ya Kilimo mara nne (4) kutoka TZS294bn mpaka TZS1,200bn na hivyo kuongeza upatikanaji wa mbolea kutoka tani 678,017 mpaka tani 1,200,000.

Rais Samia ameongeza bajeti ya Kilimo kutoka TZS 294bn mwaka 2020 hadi TZS 1.24 trilioni mwaka 2025 sawa na ongezeko chanya la 325% hii imepelekea Kilimo kukua Kwa 4.6% na kuchangia kwenye Pato la Taifa (GDP) kwa 26%

Ikiwa utafiti wa REPOA unasema tukikikuza kilimo Kwa 10% tutapunguza umasikini kwa 50% ikiwa sasa Rais Samia amekikuza kilimo kwa 5% maana yake sasa tutapunguza umasikini kwa 25% katika kipindi kifupi kijacho.

Ndio sababu,

#OCT TUNATIKI✓
 
Watanzania hawadanganyiki na hizo propaganda za namba tena, uhalisia wa maisha unaonekana dhahiri huku mitaani. Katiki we na chawa wenzako, ila msimamo wa wananchi wenye nchi ni No Reforms, No Elections.
 
Watanzania hawadanganyiki na hizo propaganda za namba tena, uhalisia wa maisha unaonekana dhahiri huku mitaani. Katiki we na chawa wenzako, ila msimamo wa wananchi wenye nchi ni No Reforms, No Elections.
Nani kadanganywa huu ni uhalisia wenyewe kama unabisha fanya UTAFITI wako wa Siri ulete majibu hapa
 
Sema wewe tahira utatoki, usituingize kwenye ujinga wako.
 
Hii ni project ya Kafulila lazima
 
Subutu
 
Labda wakulima wa kutengenezwa
 
Hao ni mazezeta hawajui mambo ya namba
Sawa mkulima
 
Samia jembe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…