ila kaa ukijua ni wewe tu haumkubaliHuyo mama hata angenipa kitu kitamu vp SIMKUBALI daima!!.
wananunua kwa mujibu wa Taarifa aliyoMhe Bashe DodomaMahindi mbona NFRA wapo kimya au safari hii ,Kongo, Malawi,Zambia na Rwanda wamelima wenyewe mahindi?
Hizi ndizo sababu 5 kwanini tumchague Rais Samia:View attachment 3387807
==
TAFITI zinaonesha umasikini wa mtanzania zaidi upo Vijijini, Rais Samia ameongeza Bajeti ya Kilimo mara nne (4) kutoka TZS294bn mpaka TZS1,200bn na hivyo kuongeza upatikanaji wa mbolea kutoka tani 678,017 mpaka tani 1,200,000.
Rais Samia ameongeza bajeti ya Kilimo kutoka TZS 294bn mwaka 2020 hadi TZS 1.24 trilioni mwaka 2025 sawa na ongezeko chanya la 325% hii imepelekea Kilimo kukua Kwa 4.6% na kuchangia kwenye Pato la Taifa (GDP) kwa 26%
Ikiwa utafiti wa REPOA unasema tukikikuza kilimo Kwa 10% tutapunguza umasikini kwa 50% ikiwa sasa Rais Samia amekikuza kilimo kwa 5% maana yake sasa tutapunguza umasikini kwa 25% katika kipindi kifupi kijacho.
Ndio sababu,
#OCT TUNATIKI✓
Hapa kuna mambo matano mazuri ya Rais Samia Suluhu Hassan, yaliyoonekana wazi katika uongozi wake:View attachment 3387807

apewe maua yake kwakweliMAMA ANAFANYA MENGI