Pre GE2025 Bajeti ya Maandamano Arusha kuijenga au kuipasua CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Status
Not open for further replies.
Chadema haijawahi kuwa na Bajeti ya maandamano

wewe we we we thubutu πŸ’

kwa taarifa yako bila ile mihela ilochangwa kule Mwanza na tule tupesa tudogo tulikochangwa na Sauti ya WaTz ya Dr.Slaa, chairman na waandamizi kamati kuu chadema wasingeenda kujidhalilisha mwanza πŸ’
 
wewe we we we thubutu πŸ’

kwa taarifa yako bila ile mihela ilochangwa kule Mwanza na tule tupesa tudogo tulikochangwa na Sauti ya WaTz ya Dr.Slaa, chairman na waandamizi kamati kuu chadema wasingeenda kujidhalilisha mwanza πŸ’
Mimi niliweka picha hapa wakichanga Mwanza , ile haikuwahi kuwa Bajeti ya Maandamano , achana na uzushi
 
Mimi niliweka picha hapa wakichanga Mwanza , ile haikuwahi kuwa Bajeti ya Maandamano , achana na uzushi
ilikua michango ya send off sio πŸ’

ilikua ni agizo kutoka juu kwamba wasipojichanga viongoxi waandamizi hawatakanyaga ardhi ya Mwanza kwa maandramano πŸ’

hata hivyo si mara ya kwanza wala si jambo geni kwa wanachama na wadau kuchangia jambo Fulani muhimu.
Ule ubabe na kujipa umuhimu Zaid nadhani ndio kasoro to me πŸ’
 
Hao jamaa wasilete ujinga. Kama atatumia 160 million kwenye maandamano then maandamano 20 tu yatatosha kumaliza Ruzuku yote. Lema yuko sahihi. Lazima wategemee michango. Hiyo 2.4 billion siyo nyingi kwa Chama kikubwa kama Chadema. Ndiyo maana CCM huwa wanaiba chaguzi ili kujiongezea kipato kupitia Ruzuku.
 
Shida yako Chadema watumie pesa za ruzuku, wasifanye harambee..

Kwani hiyo harambee wakifanya wengine wakaamua kuchangia kwa mapenzi yao, wewe usiyetaka ukagoma kuchangia kuna ubaya gani?

Kwanini uumizwe roho na pesa za walioamua kuchangia kwa mapenzi yao?

Madai yako hayana msingi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Una kijiushahidi chochote hata cha uzushi ?
 
Kubwa la mapumbafu
 
Jikite kwenye mada inayohusika tu
hii ya waandamizi kutaka kuzichapa kwaajili ya shekel si tumeshamalizana au kuna mahali bado unanificha?

ile ya udini achana nayo ni ushamba πŸ’
ata ile ya eti maafisa usafirishaji wanafanya kazi ya laana πŸ’

hio nayo kausha πŸ’
 
Propaganda katika Nchi maskini hazijengi.
Badala ya kumwambia Maadam president apunguze safari na matumizi ya anasa ashughuliki6umeme, maji, sukari na mafuta mna baki kulia na Chadema!!!
Haya kanunueni ndege ya viongozi mpige cha juu kama ile ya mizigo. Mlio laaniwa
 
Mnaumia mkiwa wapi?

Vipi Mwenezi kashapigwa Stop na wahuni wa ccm?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…