Bajeti Ya Milioni 8 Nichukue Gari Ipi Ndogo Kwa Mishemishe Za Mjini.

mzama chumvini

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
730
Reaction score
642
Sabakher; Jaman Kwa Bajet Hiyo Ya 8M Naweza Pata Gar Gan Kwa Movement Za Hapa Na Pale!! Ningeomba Kupata Sifa Za PASSO! IST! CAMRY! VITS! RAUM! Kwa Bajet Yangu Naweza Kupata Lipi? Vp Unywaji Wa Mafuta? Bajet Yangu Ya Mafuta Ni Elfu 15 per Day Nitatembea Kama 70 Km Kwa Siku
 
8mn kshs au tzshs???

Kama ni kenyan
Unaeza nunua
Ford ranger+ prado vx + probox + tuk tuk ya 140k kwa hyo 8mn!!!
 
Kwa bajeti yako ya Mafuta Passo cc990 itakufaa kwa mishe mishe za mjini
 
Condition ya barabara ikoje?

i.e Kwenye hiyo km 70 uliyokadiria kwa siku, ni ngapi lami na ni ngapi vumbi?
 
kwa bajeti yako,vuta vitz mkuu kwani ni kigumu na fuel consumption yake ipo poa,chukua old model,sio new model,ukipata Vitz RS old model ndio utakuwa umemaliza,kwani show kali,kigumu balaa na kinakula wese vizuri,passo vipo poa kwenye ulaji wese ila sio vigumu
 
Mkuu kwa bajeti hiyo nakushauri uchukue Gari yenye 4WD kama RAV4 au mitsubishi. Zitafiti kwenye hayo mafuta yako na pia hutakuwa na shida kwenye mashimo, mchanga au matope. Vitz, IST na PASSO ni poa kama wewe huna mpango wa kwenda ktk barabara zenye matatizo niliyoyataja hapo juu.
 
Wewe unataka aanze na matatizo ya kushinda garage kila siku hata hizo mishe zake hawezi kuzifanya mjini. Ukiweza kuipata rav4 ya ml.nane ujue lazima uzizowee gereji na utafilisika.Kakwambia matumizi ya huo usafiri ni mishe mishe za mjini tu.Hiyo michanga na matuta ya kuhitaji 4 wheel yapo mji upi? Wako sio ushauri bali unataka kumdidimiza jamaa jumla.
 
Ingia play store...download kupatana.....utaona magari yanauzwa...Noah old model ni durable na ni rahisi kutenheneza.
 
Wewe unataka aanze na matatizo ya kushinda garage kila siku hata hizo mishe zake hawezi kuzifanya mjini. Ukiweza kuipata rav4 ya ml.nane ujue lazima uzizowee gereji na utafilisika.Kakwambia matumizi ya huo usafiri ni mishe mishe za mjini tu.Hiyo michanga na matuta ya kuhitaji 4 wheel yapo mji upi? Wako sio ushauri bali unataka kumdidimiza jamaa jumla.
Nina RAV 4 namba ALY, nikiamua kuuza nauza kwa milion 8, haijawahi kushinda garage, na vijana wanapiga nayo misele kila siku kwa shughuli za kibiashara, acha kukariri
 
Sabakher; Jaman Kwa Bajet Hiyo Ya 8M Naweza Pata Gar Gan Kwa Movement Za Hapa Na Pale!! Ningeomba Kupata Sifa Za PASSO! IST! CAMRY! VITS! RAUM! Kwa Bajet Yangu Naweza Kupata Lipi? Vp Unywaji Wa Mafuta? Bajet Yangu Ya Mafuta Ni Elfu 15 per Day Nitatembea Kama 70 Km Kwa Siku
ع
 
Nunua baiskeli..kwa sasa inatosha otherwise weka bajeti hii kila mwezi
Mafuta 100,000pm
Bima 30,000 pm
Trafic fines 60,000 pm -100,000pm
Road licence 13,500 pm
Fire 2500 pm
Parking 100,000 pm
Service 10,000 pm

Kama bajeti hio unayo na hutaua familia sawa..otherwise baiskeli au bodaboda yatosha
 
Back
Top Bottom