Bajeti Ya Milioni 8 Nichukue Gari Ipi Ndogo Kwa Mishemishe Za Mjini.

Bajeti Ya Milioni 8 Nichukue Gari Ipi Ndogo Kwa Mishemishe Za Mjini.

Daihatsu Terios kid 650 cc.Lita moka km 20 minimum
 
Daihatsu_Terios_Kid_004.JPG

Terios kid 650 cc, ninayo inanipa 22 km per litre
 
Nunua baiskeli..kwa sasa inatosha otherwise weka bajeti hii kila mwezi
Mafuta 100,000pm
Bima 30,000 pm
Trafic fines 60,000 pm -100,000pm
Road licence 13,500 pm
Fire 2500 pm
Parking 100,000 pm
Service 10,000 pm

Kama bajeti hio unayo na hutaua familia sawa..otherwise baiskeli au bodaboda yatosha
 
8mn kshs au tzshs???

Kama ni kenyan
Unaeza nunua
Ford ranger+ prado vx + probox + tuk tuk ya 140k kwa hyo 8mn!!!
Mkuu kama ni ksh c angeagiza Lamborghini tu coz hyo 8mil sawa na 16Bil tshs.
Vitu vingine uwe unajiongeza tu
 
Mkuu kama ni ksh c angeagiza Lamborghini tu coz hyo 8mil sawa na 16Bil tshs.
Vitu vingine uwe unajiongeza tu
Huyo jamaa toka anaswe vibao na Mama Kibaki, hayupo sawa. Na hivi deal la bomba limehota mbawa basi stress 24/7
 
Tafuta ford figo kaka kule utachagua mwenyewe kama ni diesel ama petrol. 6.6l/100lm. Gari ngumu sana.
 
hiyo bajeti ni kwa gari la kuagiza nje ya nchi au la hapa hapa, kama hapa hapa yapo mengi tu ila kama la kuagiza nakushauri ongeza kidogo upate gari litakalo kufaa
 
Back
Top Bottom