mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 642
Wewe unataka aanze na matatizo ya kushinda garage kila siku hata hizo mishe zake hawezi kuzifanya mjini. Ukiweza kuipata rav4 ya ml.nane ujue lazima uzizowee gereji na utafilisika.Kakwambia matumizi ya huo usafiri ni mishe mishe za mjini tu.Hiyo michanga na matuta ya kuhitaji 4 wheel yapo mji upi? Wako sio ushauri bali unataka kumdidimiza jamaa jumla.Mkuu kwa bajeti hiyo nakushauri uchukue Gari yenye 4WD kama RAV4 au mitsubishi. Zitafiti kwenye hayo mafuta yako na pia hutakuwa na shida kwenye mashimo, mchanga au matope. Vitz, IST na PASSO ni poa kama wewe huna mpango wa kwenda ktk barabara zenye matatizo niliyoyataja hapo juu.
Nina RAV 4 namba ALY, nikiamua kuuza nauza kwa milion 8, haijawahi kushinda garage, na vijana wanapiga nayo misele kila siku kwa shughuli za kibiashara, acha kukaririWewe unataka aanze na matatizo ya kushinda garage kila siku hata hizo mishe zake hawezi kuzifanya mjini. Ukiweza kuipata rav4 ya ml.nane ujue lazima uzizowee gereji na utafilisika.Kakwambia matumizi ya huo usafiri ni mishe mishe za mjini tu.Hiyo michanga na matuta ya kuhitaji 4 wheel yapo mji upi? Wako sio ushauri bali unataka kumdidimiza jamaa jumla.
عSabakher; Jaman Kwa Bajet Hiyo Ya 8M Naweza Pata Gar Gan Kwa Movement Za Hapa Na Pale!! Ningeomba Kupata Sifa Za PASSO! IST! CAMRY! VITS! RAUM! Kwa Bajet Yangu Naweza Kupata Lipi? Vp Unywaji Wa Mafuta? Bajet Yangu Ya Mafuta Ni Elfu 15 per Day Nitatembea Kama 70 Km Kwa Siku