Nitalifikisha mkuu!
1. #BajetiyaMlalahoi Kile
kishimo katika donati kitolewe, kinakula tu nafasi alafu iongezwe
ngano!!! 2. #BajetiyaMlalahoi
Vocha ya jero iuzwe mia nne hamsini, ati listi tubaki na hamsini ya
kuskrachi! 3. #BajetiyaMlalahoi
Safari za kwenda Bondeni kwa Madiba zishuke bei, bondeni, si ndege
inashuka tu, unaweka frii! Ila kurudi ndio ibaki palee pale.
rip mgimwaWakuu kwa hali halisi hiyo iko mwake maana hii budget ya dr Mgimwa haitufai kabisa