Bajeti ya mlalahoi

Bajeti ya mlalahoi

Mr Rocky

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Posts
15,178
Reaction score
14,374
1. #BajetiyaMlalahoi Kile kishimo katika donati kitolewe, kinakula tu nafasi alafu iongezwe ngano!!! 2. #BajetiyaMlalahoi Vocha ya jero iuzwe mia nne hamsini, ati listi tubaki na hamsini ya kuskrachi! 3. #BajetiyaMlalahoi Safari za kwenda Bondeni kwa Madiba zishuke bei, bondeni, si ndege inashuka tu, unaweka frii! Ila kurudi ndio ibaki palee pale.
 
nimeikubali!

1. #BajetiyaMlalahoi Kile
kishimo katika donati kitolewe, kinakula tu nafasi alafu iongezwe
ngano!!! 2. #BajetiyaMlalahoi
Vocha ya jero iuzwe mia nne hamsini, ati listi tubaki na hamsini ya
kuskrachi! 3. #BajetiyaMlalahoi
Safari za kwenda Bondeni kwa Madiba zishuke bei, bondeni, si ndege
inashuka tu, unaweka frii! Ila kurudi ndio ibaki palee pale.
 
Wakuu kwa hali halisi hiyo iko mwake maana hii budget ya dr Mgimwa haitufai kabisa
 
Back
Top Bottom