- Thread starter
- #21
ahsante Mkuuebay unaagiza nn?usihangaike kote huko mkuu,mziki bongo ipo sana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante Mkuuebay unaagiza nn?usihangaike kote huko mkuu,mziki bongo ipo sana tu.
Mkuu nahitaji mziki wa kawaida sana hivyo bajeti yangu n laki 2.Ingekuwa vizuri wewe ukasewma bajeti yako uliyoweka kwa ajili ya kazi hiyo. Then ndo wadau wakushauri kulingana na bajeti yako.
Navipataje mkuu?Kenya ndio wana vitu original kama unataka
Ni kweli huo muziki ni wa kawaida sana. Maana miziki ya siku hizi iko ghali kidogo.Mkuu nahitaji mziki wa kawaida sana hivyo bajeti yangu n laki 2.
kwahio hela utapata speaker ya dumu yenye amplifier ndani, ile mispika ya kichina ya kwenye bajaji!Mkuu nahitaji mziki wa kawaida sana hivyo bajeti yangu n laki 2.
😀😀😀😀kwahio hela utapata speaker ya dumu yenye amplifier ndani, ile mispika ya kichina ya kwenye bajaji!
nipo mbeya Mkuu, niltaka kununua ebay.
wadau vipi mimi nikitumia hiki kifaa kama amplifier nikaunganisha na speaker nzuri siwez kupata mziki mzuri?View attachment 461776
Mkuu hizo subwoofer yenye booster ni aina (brand) gani mkuu niitafute?
[/QUOTE
alliang
Hizo sub zenye speaker ndani ni za wale jamaa zetu wa kutoka Ghangzou! Jiandae kupata mziki ulio flat.Mkuu hizo subwoofer yenye booster ni aina (brand) gani mkuu niitafute?
kwahio hela utapata speaker ya dumu yenye amplifier ndani, ile mispika ya kichina ya kwenye bajaji!😂😂😂 wengine wanaitaga mabox ya makelele, watu wanadharau sana aisee.
Duh mbona mimi naona uliopo kwenye gari unatosha sana?! Au ndio uzee umenijia kwa kasi
Aloo kuna wajomba huko kenya, uarubuni, ujerumani wanakufungia gari mziki una subwoofer mpaka 4 na kila moja inatema sio chini 800 watts rms sio poa aisee, uko tandale mziki unasikika posta mamaeeee
Kwaninihuwezi mkuu.
Una upgrade betri tu kama una N40 unafunga N50Hivi mziki mkubwa hau athiri performance ya gari?
Hasa hizi zenye engine ndogo mfano 1500cc