Tuna shida chache..kwanza hatuwajibiki halafu tunataka kuendelea.
Pili...tunapenda kulinganisha vitu visibyo lingana mfano kuna nchi flani asilimia 80 ya uwekezaji ni raia wa nje ya nchi hiyo na nchi nyingine 90 ya wawekezaji ni walowezi inatakiwa ifananishwe na nchi ambayo wawekezaji na walowezi hawafiki 30 asilimia.
Tatu..duniani hakuna rafiki wa kweli zaidi ya maslahi...ukiona anataka kukusaidia au anakuambia uingie mkondo wake ujue kuna kitu.
Mfano ..kuna nchi ambazo walikua na mauaji ya kimbali mmoja akaongeza muda wa uraisi wana demokrasia hawakupinga na mwingine alipoongeza wabia wa maendeleo na balozi pendwa wakatoa" presi lilizi" aka pabili notisi.na hapa waafrika hawajawai kufukiria kwa nn?
Nne..aina ya taifa...hatuwezi kuwa na muundo unafanana wote hatuwezi kuwa na mfumo km kenyya ,afrika kusini ,amerika .uingereza .urusi na china ...lazima tuchague .
Tano...watu wengi tunajadili tukiwa na maslahi binafsi kwenye jambo husika kuliko uhalisia wenyewe...swali fikirishi je tunaweza endelea kwa kutegemea misaada na masharti au tujifunze kuanza kujitegemea hata km bado tunawategemea?
Hitimisho:tunataka kujenga taifakiuchumi km nchi za indonesia malesia au urusi na venezuela au china na irani au marekani na uingereza?au uswis?nk kila chaguo lina gharama zake za kulipa kabla hatujafanikiwa