Bajeti ya mwisho wa mwaka (Year-end budget)

Bajeti ya mwisho wa mwaka (Year-end budget)

Wi-Fi

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
2,091
Reaction score
1,381
Habari za wikendi wanajukwaa..

Niko hapa na kidaftari changu pamoja na kikokoteo (calculator) najaribu kuorodhesha mahesabu naona maji yameshazidi unga..

Ngoja tu nikoroge uji ninywe
 
upload_2016-10-8_17-4-10.png
 
Back
Top Bottom