Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,381 Oct 8, 2016 #1 Habari za wikendi wanajukwaa.. Niko hapa na kidaftari changu pamoja na kikokoteo (calculator) najaribu kuorodhesha mahesabu naona maji yameshazidi unga.. Ngoja tu nikoroge uji ninywe
Habari za wikendi wanajukwaa.. Niko hapa na kidaftari changu pamoja na kikokoteo (calculator) najaribu kuorodhesha mahesabu naona maji yameshazidi unga.. Ngoja tu nikoroge uji ninywe