Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Bajeti ya Serikali 2026/2027 yapita kwa kishindo
Matokeo ya kura ya bajeti kuu ya serikali:
Katibu wa Bunge:
Katibu wa Bunge:
Katibu wa Bunge:
Matokeo ya kura ya bajeti kuu ya serikali:
- Idadi ya Wabunge waliokuwepo bungeni: 393
- Idadi ya Wabunge ambao hawakuwepo bungeni: 8
- Kura za Ndio: 385
- Kura za Hapana: 8
- Kura za Sipigi Kura: Sifuri
Katibu wa Bunge:
"Miswada ya Sheria ya Serikali. Muswada wa Sheria kwa ajili ya kuidhinisha jumla ya Shilingi trilioni sitini na mbili, bilioni mia tatu thlathini na nne, milioni mia moja tisini na tatu, mia mbili ishirini na saba elfu na mia nane kwa matumizi ya serikali kutoka katika mfuko mkuu wa hazina kwa mwaka unaoishia tarehe 30 Juni 2027 kutumia fedha zilizoidhinishwa kwa mwaka huo, yaani An Act to apply a sum of 62 trillion, 334 billion, 193 million, 227 thousand and 800 shillings out of the Consolidated Fund to the service of the year ending on the 30th day of June 2027 to appropriate the supply granted. Kusomwa mara ya kwanza."
Katibu wa Bunge:
"Muswada wa Sheria ya Fedha za Matumizi wa Mwaka 2026, yaani The Appropriation Bill, 2026. Kusomwa mara ya pili."
Katibu wa Bunge:
Naibu Spika (Mussa Azzan Zungu):"Muswada wa Sheria kwa ajili ya kuidhinisha jumla ya Shilingi trilioni sitini na mbili, bilioni mia tatu thlathini na nne, milioni mia moja tisini na tatu, mia mbili na ishirini na saba elfu na mia nane kwa matumizi ya serikali kutoka katika mfuko mkuu wa hazina kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2027 kutumia fedha zilizoidhinishwa kwa mwaka huo, yaani An Act to apply a sum of 62 trillion, 334 billion, 193 million, 227 thousand and 800 shillings out of the Consolidated Fund to the service of the year ending the 30th day of June 2027 to appropriate the supply granted. Kusomwa mara ya tatu."
Wabunge:"Waheshimiwa Wabunge, muswada umepitia hatua zote kusomwa mara tatu, na sasa nitawahoji. Wanaofiki Muswada wa Sheria ya Fedha za Matumizi wa Mwaka 2026, The Appropriation Bill, 2026, wanaofiki waseme 'Ndio'."
Naibu Spika (Mussa Azzan Zungu):"Ndioooo!"
"Na wasiofiki waseme 'Sio'."(Kimya bungeni)"Wanaofiki wameshinda, na muswada umepitishwa."