Bajeti ya Serikali 2026/2027 yapita kwa asilimia 97.96

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Bajeti ya Serikali 2026/2027 yapita kwa kishindo


Your browser is not able to display this video.


Matokeo ya kura ya bajeti kuu ya serikali:
  • Idadi ya Wabunge waliokuwepo bungeni: 393
  • Idadi ya Wabunge ambao hawakuwepo bungeni: 8
  • Kura za Ndio: 385
  • Kura za Hapana: 8
  • Kura za Sipigi Kura: Sifuri
Bajeti ya serikali imepitishwa kwa kura 385, sawa na asilimia 97.96."



Your browser is not able to display this video.


Katibu wa Bunge:


Katibu wa Bunge:

"Muswada wa Sheria ya Fedha za Matumizi wa Mwaka 2026, yaani The Appropriation Bill, 2026. Kusomwa mara ya pili."

Katibu wa Bunge:

Naibu Spika (Mussa Azzan Zungu):

"Waheshimiwa Wabunge, muswada umepitia hatua zote kusomwa mara tatu, na sasa nitawahoji. Wanaofiki Muswada wa Sheria ya Fedha za Matumizi wa Mwaka 2026, The Appropriation Bill, 2026, wanaofiki waseme 'Ndio'."
Wabunge:

"Ndioooo!"
Naibu Spika (Mussa Azzan Zungu):

"Na wasiofiki waseme 'Sio'."(Kimya bungeni)"Wanaofiki wameshinda, na muswada umepitishwa."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…