Bajeti ya Serikali ikishasomwa inaweza kubadilishwa?

Bajeti ya Serikali ikishasomwa inaweza kubadilishwa?

Hata kujaribu kunyoosha mkono wa kuikataa linaweza kuwa kosa la jinai, na yawezekana mshahara/ posho ya mwezi huu asilipwe akilalamika watamwambia wewe siuliipinga bajeti sasa unataka hela itoke wapi.
Kwamaxingira haya kila mtu ajiwakilishe kule bungeni sio wawakilishe wetu
 
Waziri wa fedha anapendekeza, mapendekezo yaweza kubaliwa ,kukataliwa au kurekebishwa.
 
Wabunge wanaweza ibadilisha kama wataona inafaa,, lakini zile akili zile! zitaishia kugonga meza na budget itapita kama ilivyo.
 
Kama kuna kitu kimesahaulika kwenye bajeti huwa inatengwa pesa maalum kwa ajili ya mambo yatakayojitokeza ghafla mbele ya safari, kama suala la Corona.
 
Back
Top Bottom