Hata kujaribu kunyoosha mkono wa kuikataa linaweza kuwa kosa la jinai, na yawezekana mshahara/ posho ya mwezi huu asilipwe akilalamika watamwambia wewe siuliipinga bajeti sasa unataka hela itoke wapi.
Kama kuna kitu kimesahaulika kwenye bajeti huwa inatengwa pesa maalum kwa ajili ya mambo yatakayojitokeza ghafla mbele ya safari, kama suala la Corona.