Bajeti ya Tanzania+Uganda=Kenya

Bajeti ya Tanzania+Uganda=Kenya

Halafu ukija huku basi jibidiishe kidogo, usikurupuke namna hiyo hadi tunakuona kama kijana wa kidato cha tatu.
Jaribu kushirikisha ubongo unapofungua nyuzi kama hizi,.
yaani mnamponda mtz mwenzenu sababu ya kusema ukweli? 😀😀😀 jamaa kaleta tu data...hamna chochote alichokisema bada ya hapo..mbona mmpanic?
 
Tanzania serikali haiokoti hela za kutosha, yaani taxes...watakuwa aje na budget kama ya EA's largest economy?
Uchumi wa kwenye karatasi wakati wananchi hawana uhakika wa milo mitatu! Au ndiyo ile falsafa ya statisticians wenu ya "Head in the oven and legs in the freezer, the average is comfortable"...
 
punguza kulia lia...uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko ule wa tz na wa ug kwa pamoja...najua hili ni tembe ngumu kumeza ila ni ukweli mtupu....hakuna kitu nchi LDC inaweza tuambia...
 
Hmm!... Ngoja nikae kimya maana busara ya UKIMYA ni kwamba utaepuka kusema ambayo hukutarajia kuyasema...
 
Uchumi wa kwenye karatasi wakati wananchi hawana uhakika wa milo mitatu! Au ndiyo ile falsafa ya statisticians wenu ya "Head in the oven and legs in the freezer, the average is comfortable"...
Uchumi wa makaratasi? Pathetic!!!!!
Katika budget za kisenge na ambazo hazitekelezeki moja wapo ni ya Tanzania ya mwaka 2016. Wizara ya kilimo ilitengewa Tsh 10 bilioni, lakini zilizofika wizarani ni Tsh 3.7bilioni sawa na 3% je, huo sio uchumi wa makaratasi?

Ndo maana nimesema kuwa hiyo ni bajeti ya nchi bila kujali itatumikaje. Hata hiyo Tsh 30.75tr ya Tanzania huenda haikutimizwa kwa kuwa wizara nyingi zilipewa chini ya 30%

Vivyo hivyo kwa Kenya pia, hiyo pesa huenda haikufika yote kwenye wizara husika(gatuzi) mfano, Kwa Kenya wizara ya Elimu ndo ilipata 89% ya pesa iliyotakiwa huku Tanzania ikiwa ni 43% ya pesa iliyofika wizara ya elimu.
 
Correction, wizara ya kilimo ya Tanzania ilitengewa Tash 101bilioni sio 10bilion lakini ilipokea Tsh 3.7bilions sawa na 3%
 
Uchumi wa makaratasi? Pathetic!!!!!
Katika budget za kisenge na ambazo hazitekelezeki moja wapo ni ya Tanzania ya mwaka 2016. Wizara ya kilimo ilitengewa Tsh 10 bilioni, lakini zilizofika wizarani ni Tsh 3.7bilioni sawa na 3% je, huo sio uchumi wa makaratasi?

Ndo maana nimesema kuwa hiyo ni bajeti ya nchi bila kujali itatumikaje. Hata hiyo Tsh 30.75tr ya Tanzania huenda haikutimizwa kwa kuwa wizara nyingi zilipewa chini ya 30%

Vivyo hivyo kwa Kenya pia, hiyo pesa huenda haikufika yote kwenye wizara husika(gatuzi) mfano, Kwa Kenya wizara ya Elimu ndo ilipata 89% ya pesa iliyotakiwa huku Tanzania ikiwa ni 43% ya pesa iliyofika wizara ya elimu.
Kwa hiki ulichoandika unakubaliana nami kuwa Kenya na Tanzania kwenye suala la uchumi hawawezi kuchekana...
 
Sio kweli Kenya wana cha kutucheka sisi. Mfano: Bajeti ya elimu ya Kenya ni ×2 ya ile ya Tanzania. Halafu tena na udogo wetu wa bajeti then hela haziendi wizarani bali zinabaki BoT. 43% ndo Ndalichako alizopokea huku Kenya wakipeleka 89% ya pesa hizo. Hiyo inamaanisha kuwa hata kama kenya wangepeleka wizarani 53%ya fedha hizo wizarani na Tanzania ikapeleka 100% bado Wizara ya elimu ya Kenya ingepokea fedha nyingi kuliko Tanzania
 
Nikukumbushe kitu, Kenya ni nchi maskini, haiwezi kuwa baseline yetu kama nchi kupima maendeleo au hatua tunazopiga kuboresha nchi yetu.
Nakiri tuna mapungufu karibu kila sekta,
Lakini lazima tuna strengths zaidi ya Wengine,
Wakati wote usijidharau, neither don't let anyone look down at you.
You are unique, the same time our Nation is unique.
 
Nakubaliana na wewe, hata mimi sitakuja kui-undermine nchi yangu hata siku moja, ila penye uzuri na ubaya tuweke bayana.
Kuna utofauti mkubwa uliopo kati ya utashi wa Wakenya na Watanzania. Hata siku moja Watanzania wako tayari kutetea jambo ambalo liko wazi kuwa sio la kweli tofauti na Wakenya ambao kama jambo ni la Ukweli basi wengi watakubaliana nalo hata kama sio la kwao.

PIA UZURI NI KWAMBA
mimi nimeishi Machakoz huko Kenya kwa zaidi ya miaka 6 na maisha ya Kenya nayajua ni tofauti na ya Tanzania.
Tanzania maisha ni rahisi kuliko Kenya japo uchumi wao uko juu kuliko sisi. Mfano: Kunywa chai hata Kijijini Kenya lazima uwe na Ksh75(1500Tsh)wakati Tanzania hata ukiwa na Ksh24(Tsh500)unapata chai na andazi nne. So bado tuna cha kujivunia.
Hivyo basi kwa uchumi wa Kenya na Tanzania ulivyo, Maskini wa Kenya anahangaika kuliko Maskini mwenzake wa Tanzania
 
Hata ardhi tu kwa Kenya ni shida. Kwa Kenya huwezi kupata ardhi ya kulima kama huna mamilioni hata siku moja. Hata embe lililoko kwenye shamba la mtu liwe limedondoka au laa huwezi okota tofauti na Tanzania, nenda Kagera, Rukwa, Kigoma huko ardhi nyingine haina hata mtu ukiamua unaenda kulima tu na unavuna.
 
8afb41fb6741f5da97c18f710fcf7eef.jpg
 
Halafu wanakufa na njaa kila mwaka! Huku nusu ya bajeti inalipa Mikopo ya Mchina.
 
Ni uzembe wetu tu tungejizatiti bila ufisadi na uzalendo wa kweli na waliosoma wakatumia elimu yao ipasavyo : Tx = Uganda + Kenya economically
 
Economically, according to the EAC's national budgets announced in jully this year with Kenya in march, the total Tanzanian and Ugandan budgets equals to the Kenyan one.

Tanzania (30.75tr Tsh) + Uganda(21.32tr Tsh) = Kenya(52.04tr Tsh)
Kenya ni nchi ya uchumi wa kati wa viwanda kwa muda mrefu sasa. Tanzania tumepanga kufikia uchumi wa kiwango hicho mwaka 2025. Hiki ndicho JPM anachopigania. Tutafika huko Mungu akipenda, na of course Kenya hawatakuwa wamesimama wakitusubiri bali watakuwa hatua ya mbele zaidi.
 
Ili kupata wazo kubwa unaanza na wazo dogo, fikiria nina duka moja na mwenzangu tumeanza wote lakini ana maduka tano lakini kwa uzembe wangu. Siku nikizika uzembe si ajabu nikampita mwenye maduka matano. Hivyo ndugu yangu usikate tamaa, kila kitu tunacho chapa kazi. Unaruhusu mpaka wanasema Tanzanite ni ya kwao hadi mlima Kilimanjaro ni wao, huoni anatubidi kuamka? Hizo statistics huenda ni kweli lakini mda tunao. Ukusema hatuwezi unakosea, chapa kazi kizalendo
 
Back
Top Bottom