Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
yaani mnamponda mtz mwenzenu sababu ya kusema ukweli? 😀😀😀 jamaa kaleta tu data...hamna chochote alichokisema bada ya hapo..mbona mmpanic?Halafu ukija huku basi jibidiishe kidogo, usikurupuke namna hiyo hadi tunakuona kama kijana wa kidato cha tatu.
Jaribu kushirikisha ubongo unapofungua nyuzi kama hizi,.
Uchumi wa kwenye karatasi wakati wananchi hawana uhakika wa milo mitatu! Au ndiyo ile falsafa ya statisticians wenu ya "Head in the oven and legs in the freezer, the average is comfortable"...Tanzania serikali haiokoti hela za kutosha, yaani taxes...watakuwa aje na budget kama ya EA's largest economy?
Wenzako wanapigwa live bullets huko, go help them.yaani mnamponda mtz mwenzenu sababu ya kusema ukweli? 😀😀😀 jamaa kaleta tu data...hamna chochote alichokisema bada ya hapo..mbona mmpanic?
punguza kulia lia...uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko ule wa tz na wa ug kwa pamoja...najua hili ni tembe ngumu kumeza ila ni ukweli mtupu....hakuna kitu nchi LDC inaweza tuambia...Uchumi wa kwenye karatasi wakati wananchi hawana uhakika wa milo mitatu! Au ndiyo ile falsafa ya statisticians wenu ya "Head in the oven and legs in the freezer, the average is comfortable"...
mbona unakwepa mada?😀😀😀😀msumari lazma umechoma mahala pazuriWenzako wanapigwa live bullets huko, go help them.
Hmm!... Ngoja nikae kimya maana busara ya UKIMYA ni kwamba utaepuka kusema ambayo hukutarajia kuyasema...punguza kulia lia...uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko ule wa tz na wa ug kwa pamoja...najua hili ni tembe ngumu kumeza ila ni ukweli mtupu....hakuna kitu nchi LDC inaweza tuambia...
Uchumi wa makaratasi? Pathetic!!!!!Uchumi wa kwenye karatasi wakati wananchi hawana uhakika wa milo mitatu! Au ndiyo ile falsafa ya statisticians wenu ya "Head in the oven and legs in the freezer, the average is comfortable"...
Correction, wizara ya kilimo ya Tanzania ilitengewa Tash 101bilioni sio 10bilion lakini ilipokea Tsh 3.7bilions sawa na 3%Uchumi wa makaratasi? Pathetic!!!!!
Katika budget za kisenge na ambazo hazitekelezeki moja wapo ni ya Tanzania ya mwaka 2016. Wizara ya kilimo ilitengewa Tsh 10 bilioni, lakini zilizofika wizarani ni Tsh 3.7bilioni sawa na 3% je, huo sio uchumi wa makaratasi?
Ndo maana nimesema kuwa hiyo ni bajeti ya nchi bila kujali itatumikaje. Hata hiyo Tsh 30.75tr ya Tanzania huenda haikutimizwa kwa kuwa wizara nyingi zilipewa chini ya 30%
Vivyo hivyo kwa Kenya pia, hiyo pesa huenda haikufika yote kwenye wizara husika(gatuzi) mfano, Kwa Kenya wizara ya Elimu ndo ilipata 89% ya pesa iliyotakiwa huku Tanzania ikiwa ni 43% ya pesa iliyofika wizara ya elimu.
Kwa hiki ulichoandika unakubaliana nami kuwa Kenya na Tanzania kwenye suala la uchumi hawawezi kuchekana...Uchumi wa makaratasi? Pathetic!!!!!
Katika budget za kisenge na ambazo hazitekelezeki moja wapo ni ya Tanzania ya mwaka 2016. Wizara ya kilimo ilitengewa Tsh 10 bilioni, lakini zilizofika wizarani ni Tsh 3.7bilioni sawa na 3% je, huo sio uchumi wa makaratasi?
Ndo maana nimesema kuwa hiyo ni bajeti ya nchi bila kujali itatumikaje. Hata hiyo Tsh 30.75tr ya Tanzania huenda haikutimizwa kwa kuwa wizara nyingi zilipewa chini ya 30%
Vivyo hivyo kwa Kenya pia, hiyo pesa huenda haikufika yote kwenye wizara husika(gatuzi) mfano, Kwa Kenya wizara ya Elimu ndo ilipata 89% ya pesa iliyotakiwa huku Tanzania ikiwa ni 43% ya pesa iliyofika wizara ya elimu.
Tuliza mshono!Hamia hukohuko basi mtumwa wa fikra wewe.
Sio kweli Kenya wana cha kutucheka sisi. Mfano: Bajeti ya elimu ya Kenya ni ×2 ya ile ya Tanzania. Halafu tena na udogo wetu wa bajeti then hela haziendi wizarani bali zinabaki BoT. 43% ndo Ndalichako alizopokea huku Kenya wakipeleka 89% ya pesa hizo. Hiyo inamaanisha kuwa hata kama kenya wangepeleka wizarani 53%ya fedha hizo wizarani na Tanzania ikapeleka 100% bado Wizara ya elimu ya Kenya ingepokea fedha nyingi kuliko TanzaniaKwa hiki ulichoandika unakubaliana nami kuwa Kenya na Tanzania kwenye suala la uchumi hawawezi kuchekana...
Nikukumbushe kitu, Kenya ni nchi maskini, haiwezi kuwa baseline yetu kama nchi kupima maendeleo au hatua tunazopiga kuboresha nchi yetu.Sio kweli Kenya wana cha kutucheka sisi. Mfano: Bajeti ya elimu ya Kenya ni ×2 ya ile ya Tanzania. Halafu tena na udogo wetu wa bajeti then hela haziendi wizarani bali zinabaki BoT. 43% ndo Ndalichako alizopokea huku Kenya wakipeleka 89% ya pesa hizo. Hiyo inamaanisha kuwa hata kama kenya wangepeleka wizarani 53%ya fedha hizo wizarani na Tanzania ikapeleka 100% bado Wizara ya elimu ya Kenya ingepokea fedha nyingi kuliko Tanzania
Nakubaliana na wewe, hata mimi sitakuja kui-undermine nchi yangu hata siku moja, ila penye uzuri na ubaya tuweke bayana.Nikukumbushe kitu, Kenya ni nchi maskini, haiwezi kuwa baseline yetu kama nchi kupima maendeleo au hatua tunazopiga kuboresha nchi yetu.
Nakiri tuna mapungufu karibu kila sekta,
Lakini lazima tuna strengths zaidi ya Wengine,
Wakati wote usijidharau, neither don't let anyone look down at you.
You are unique, the same time our Nation is unique.
Wewe una hoja gani zaidi ya kubishana? Ndiyo maana sina muda wa kubishana na wewe...jua kutofautisha kati ya busara ya ukimya na kukosa hoja...
Kenya ni nchi ya uchumi wa kati wa viwanda kwa muda mrefu sasa. Tanzania tumepanga kufikia uchumi wa kiwango hicho mwaka 2025. Hiki ndicho JPM anachopigania. Tutafika huko Mungu akipenda, na of course Kenya hawatakuwa wamesimama wakitusubiri bali watakuwa hatua ya mbele zaidi.Economically, according to the EAC's national budgets announced in jully this year with Kenya in march, the total Tanzanian and Ugandan budgets equals to the Kenyan one.
Tanzania (30.75tr Tsh) + Uganda(21.32tr Tsh) = Kenya(52.04tr Tsh)