Bajeti ya uchaguzi 2020 bilioni 300 Vs Bajeti ya uchaguzi 2025 trillion 1

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,920
Reaction score
4,216
Kwa mujibu wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha shilingi za kitanzania Bilioni 331 wakati wa uchaguzi 2020,

Vs
Kwa mujibu wa Bajeti ya Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha shilingi za kitanzania Trillion 1 wakati wa uchaguzi 2025

Kuna siku tutaamka tumeuzwa kwa Mwarabu kama slaves
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…