Siku za nyuma tulikua tunaambiwa aaaah Urusi!
Urusi Cha mtoto TU kwa Marekani,
Uchumi wa Urusi haufiki hata Nusu ya uchumi wa Jimbo la California.
Watu wakaenda mabali Zaid na kusema Urusi haiwezi kupigana na marekani kwa sababu bajeti ya Ulinzi ya Marekani hata china na Urusi ziunganishe bajeti zao za ulinzi hazifiki kwa bajeti ya Ulinzi ya Marekani.
Sasa Leo tumekua ukweli kua bajeti ya Ulinzi ya Marekani si lolote si chochote katika vita,hiyo bajeti Yao kubwa ni upigaji na starehe TU.
Leo hii ukweli ni kwamba nchi dhaifu ya Irani iloyoishi kwenye vikwazo Kwa miaka zaidi ya 40 imeweza kuidhibiti Marekani yenye uchumi mkubwa na bajeti kubwa ya Ulinzi.
Ushahidi mwingine ni vita ya Vietnam,Talabans na somalia.
Pamoja na bajeti kubwa yote hivyo lkn bado supapawa wa mchongo akawa anaomba washirika wake na NATO wakamasaidie kupita TU Homusi achilia mbali kuipiga Iran.