Bajeti ya Yanga ni Tsh. Bilioni 24.5

Bajeti ya Yanga ni Tsh. Bilioni 24.5

Mbona ni kidogo sana, hizo si kama US Dollars million 17 tu. Linganisha na timu inazotaka kushindana nazo, Al Ahli ni US Dollars million 88. Takriban Shillingi billioni 237.

Hiyo ni zaidi ya asilimia 500 ya bajeti ya Yanga.
 
Mnapigwa kwenye nini hasa?
Gsm na mo wanaangalia maslahi yao.wanafaidika zaidi kuliko timu zenyewe.ndo maana hata mikataba yao imekaa kiujanja ujanja.gsm hana mkataba na utopolo. Wanaendeshana kishikaji tu.
 
Yani hii Yanga imezidi tambo sana wanatumia upepo mbaya wa Simba kucheza na akili za mashabiki wao ila niwaambie kitu

SISI PEOPLE TUTAKUTANA
Hivi kwa bajeti hii kuna ujenzi wa kiwanja kweli?!
 
Mbona ni kidogo sana, hizo si kama US Dollars million 17 tu. Linganisha na timu inazotaka kushindana nazo, Al Ahli ni US Dollars million 88. Takriban Shillingi billioni 237.

Hiyo ni zaidi ya asilimia 500 ya bajeti ya Yanga.
9m$ .
 
Kama billion 24 ni "kama usd million 17" basi naomba tukumbushane vipaumbele vya Lowasa.
 
Alikuwa mweka hazina wa Yanga?
 
Yani hii Yanga imezidi tambo sana wanatumia upepo mbaya wa Simba kucheza na akili za mashabiki wao ila niwaambie kitu

SISI PEOPLE TUTAKUTANA
Kwa ambao hawajazifuatilia simba na yanga angalau kwa miaka 15 iliyopita wataisifia sana yanga. Lakini ukweli ni kwamba yanga hakuna cha maana, kwa sasa viongozi wanajificha nyuma ya mafanikio haya yanayopatikana. Siku yakikoma na mazingira ya kisiasa yakawa hayako upande wao ndo mtajua kwamba simba na yanga ni mashamba ya bibi tu.
 
Back
Top Bottom