Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari zinazoingizwa kutoka nje ya nchi na zinazozalishwa nchini.
“Mashine hizo zinatambulika kwa Hs Code 9504.30.00, lengo la hatua hii ni kuongeza mapato ya Serikali, hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni
“Mashine hizo zinatambulika kwa Hs Code 9504.30.00, lengo la hatua hii ni kuongeza mapato ya Serikali, hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni