Yes! Nilikuwa na shauku kubwa sana ya kutaka kufahamu bajeti ya BURUNDI.Burundi na Congo nao?. Au wao sio East Africa? Halafu hio ya Tanzania ni ya Tanganyika. Zanzibar wana yao😂
Enzi za Raisi Uhuru Kenya ndio mlikua na Budget kubwa yani ilikua unajumlisha ya Tz ug na Rwanda na chenchi inabaki...nashangaa sahivi gape lina zidi kupungua ,iyo Budget ya Tz miaka mitatu mbele itakua imshawakaribia kabisaView attachment 2660047
East African Community (EAC) countries expect overall national government spending to rise in the upcoming financial year (July 1 to June 30).
East Africa Community partner states Budgets for 2023/2024
Kenya, Tanzania, Uganda, and Rwanda present their 2023/2024 budgets before their respective parliaments.www.thecitizen.co.tz
Enzi za Raisi Uhuru Kenya ndio mlikua na Budget kubwa yani ilikua unajumlisha ya Tz ug na Rwanda na chenchi inabaki...nashangaa sahivi gape lina zidi kupungua ,iyo Budget ya Tz miaka mitatu mbele itakua imshawakaribia kabisa
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kanusha nilichosema hapo...mlikua wababe kweli sahv mnaisha taratibuTuta... huu wimbo duh...
View attachment 2660047
East African Community (EAC) countries expect overall national government spending to rise in the upcoming financial year (July 1 to June 30).
East Africa Community partner states Budgets for 2023/2024
Kenya, Tanzania, Uganda, and Rwanda present their 2023/2024 budgets before their respective parliaments.www.thecitizen.co.tz
Hawajawahi kuwa na bajeti iliyotuzidi mara 2 hao wala kushinda combined budget ya EA.Kanusha nilichosema hapo...mlikua wababe kweli sahv mnaisha taratibu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
3.6 Trillion ni around 60 trillion pesa za Tanzania, kwani bajeti yenu ni shillingi ngapi?Kanusha nilichosema hapo...mlikua wababe kweli sahv mnaisha taratibu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Trill 44.38tsh3.6 Trillion ni around 60 trillion pesa za Tanzania, kwani bajeti yenu ni shillingi ngapi?
Bad gap ni kubwa. Ila hii imeletwa na kuteremka kwa shillingi ya kenya. Compared to last year, bajeti ya kenya imepanda kwa zaidi ya $3b
Google is your friendHawajawahi kuwa na bajeti iliyotuzidi mara 2 hao wala kushinda combined budget ya EA.
Ndio gap lilikua kubwa zaidi linapunguaBad gap ni kubwa. Ila hii imeletwa na kuteremka kwa shillingi ya kenya. Compared to last year, bajeti ya kenya imepanda kwa zaidi ya $3b
Eti bandari imefanyaje sheikh...
Nani amekuambia bandari inachukuliwa wewe nyang'au?... na kukubali bandari ichukuliwe...