Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Mawaziri wote wa Fefha wa Nchi za Afrika Mashariki saa kumi Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa kwa kuzilinyanisha na kufanya analysis
 
Huwezi kulinganisha nchi yenye rasilimali nyingi na kidogo, ni sawa na kulinganisha tembo na faru.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Wadau leo ni siku ya kutangazwa bajeti ya nchi za Afrika mashariki.

Hapa Tanzania matangazo ya bajeti yatarushwa mubashara katika local tv zote ikiwemo hapa Jf.

Usipitwe

Up dates;

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni maigizo tu, bajeti ya sasa anapanga mtu mmoja! Bajeti isiyofuatwa ni ya nini? Idd Amin aliendesha nchi kama hapa bila bunge, na ndivyo tulivyo!!
 
Huna kazi ya kufanya?
Hujui umuhimu wa Bajeti? Wahindi Bajeti ikisomwa hukaa na wataalamu wao kusikiliza mwanzo mwisho kuangalia Kuna fursa gani ya kibiashara ndani ya Bajeti wanaacha kazi zao zote kusikiliza Bajeti

Mfano Bajeti ikisema mkazo utakuwa kuhakikisha pembejei zinapatikana kwa wingi kesho anaenda sajili kampuni ya pembejeo tayari kwa kupiga pesa

Kwani wewe una kazi gani ya maana Ni kibarua serikalini au sekta binafsi?
 
Deni la taifa la Kenya lafikia dola bilioni 72 Tanzania Deni la taifa lafikia dola 26 bilioni
 
Hujui umuhimu wa Bajeti? Wahindi Bajeti ikisomwa hukaa na wataalamu wao kusikiliza mwanzo mwisho kuangalia Kuna fursa gani ya kibiashara ndani ya Bajeti wanaacha kazi zao zote kusikiliza Bajeti

Mfano Bajeti ikisema mkazo utakuwa kuhakikisha pembejei zinapatikana kwa wingi kesho anaenda sajili kampuni ya pembejeo tayari kwa kupiga pesa

Kwani wewe una kazi gani ya maana Ni kibarua serikalini au sekta binafsi?
Hiyo sio budget ni uchafu, fanya kazi achakupoteza muda kujadili uwongoo
 
Jibu mujarabu kabisa hilo Mkuu

huyo atakuwa ana kazi pale Ufipa ya kulinda magari ya Chama
 
Back
Top Bottom