BAK live interview karibun wote tumuintavyuuu

BAK live interview karibun wote tumuintavyuuu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
KELM-News-660x400.jpeg


Karbun kwenye intavyuuu leo tunaenda kumuintavyuu kaka yetu bak wa jukwaa la siasa,

Utaratibu kila mtu anaruhusiwa kumuuliza swali alaf jamaa atakuja kujibu

Matus hayaruhusiwi kwa atayetukana na kuharibu show nitamriport kwa mods apigwe ban

Karibun sana mtayarishaji ni mimi wenu beira boy

LONDON BOY
 
Kama unataka kumjua si umfate pm. Me nikajua kafa au kajiteka
 
Jamaa anapambana na Mafuriko sidhani kama atapatikana saiv foleni hii
 
Back
Top Bottom