Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Nishajibu bae.Hilo swali mm ndo nikuulize naona unanigeuzia kibao..
Nimekupa na namba ya wakala wa tigo pesa ili usipate tabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishajibu bae.Hilo swali mm ndo nikuulize naona unanigeuzia kibao..
Poa.Chukua bodaboda basi maana barid hili si mchezo
Si umeokoka wewe?Na mvua hii jamani Mtuache mpaka kesho watu wapo juu ya vifua
Rafiki tumuache labda yupo school of journalism! Anataka fanya practical[emoji23] [emoji23]
KabisaInterview imepoa kama Uji wa Mgonjwa
HahahaKabisa
Mie hii interview niliishakataa kwani maswali mengi jibu litakuwa next quesion please! Yanini kujianika mbele ya wasiojulikana!? Wahenga walisema, “Akili mkichwa”
Bak anazingua hataki kujibu maswali ya wadauHahaha
Ntakusaidia kujibu waache wauluze[emoji3][emoji3]Mie hii interview niliishakataa kwani maswali mengi jibu litakuwa next quesion please! Yanini kujianika mbele ya wasiojulikana!? Wahenga walisema, “Akili mkichwa”
Natamani mnoo...sijui nna nn jaman..bak kanipa dislike kbsUnatafuta mume?[emoji3][emoji3]
Natamani mnoo...sijui nna nn jaman..bak kanipa dislike kbs
Ntakusaidia kujibu waache wauluze[emoji3][emoji3]
NisaidieKumekucha @BAK