Nishajibu bae.Hilo swali mm ndo nikuulize naona unanigeuzia kibao..
Poa.Chukua bodaboda basi maana barid hili si mchezo
Si umeokoka wewe?Na mvua hii jamani Mtuache mpaka kesho watu wapo juu ya vifua
Rafiki tumuache labda yupo school of journalism! Anataka fanya practical[emoji23] [emoji23]
KabisaInterview imepoa kama Uji wa Mgonjwa
HahahaKabisa
Mie hii interview niliishakataa kwani maswali mengi jibu litakuwa next quesion please! Yanini kujianika mbele ya wasiojulikana!? Wahenga walisema, βAkili mkichwaβ
Bak anazingua hataki kujibu maswali ya wadauHahaha
Ntakusaidia kujibu waache wauluze[emoji3][emoji3]Mie hii interview niliishakataa kwani maswali mengi jibu litakuwa next quesion please! Yanini kujianika mbele ya wasiojulikana!? Wahenga walisema, βAkili mkichwaβ
Natamani mnoo...sijui nna nn jaman..bak kanipa dislike kbsUnatafuta mume?[emoji3][emoji3]
Natamani mnoo...sijui nna nn jaman..bak kanipa dislike kbs
Ntakusaidia kujibu waache wauluze[emoji3][emoji3]
NisaidieKumekucha @BAK