Bakhresa amzawadia mjukuu wake gari ya PORSCHE kwa ajili ya birthday yake

Kwanza unatumia simu gani tuanzie hapo. Unajua kuna gari zingine ni ghari hata zikakugomea kuzifungua kwa simu za bei chee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€ nimecheka sana aisee
 
huyu mzee huwa ana fimbo za sehemu mbaya sana[emoji23][emoji23][emoji23].

anaweza akakuua huku hajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…