JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
- Thread starter
- #81
Haya mambo ya kuhisi hisi kwamba mtu hawezi kuwa tajiri lazima kuna mkono wa watu inabidi muache. Sikatai inawezekana kuna dili kapiga kushirikiana na mtu au watu, ila ujue biashara ni yake, jina lake, watoto wake ndiyo ma director, pesa wanakula watoto wake, hao jamaa zako wa kusadikika watoto wao wako wapi mbona hawali bata kama la watoto wa Bakhresa?Ukweli hauwezi kufutika awashukuru wanasiasa mafisadi hata km una hasira huo ndio ukweli
Kama unaona kuuza ice cream ni deal kauze na wewe
Huyu siyo mudi bana sifa nyingi hela hatuioni, jamaa pesa zinaongea zenyewe wala hata hatumii nguvu.