Bakhresa amzawadia mjukuu wake gari ya PORSCHE kwa ajili ya birthday yake

Bakhresa amzawadia mjukuu wake gari ya PORSCHE kwa ajili ya birthday yake

Sisi walalahoi tunapigika na tozo za miamala, kesi za kigaidi na kodi ya nyumba kwenye luku.

CCM walaaniwe milele.
Ccm walaaniwe kwa kipi ilhali fursa ya kutafuta na kutengeneza maisha mazuri ipo kila sehemu ya nchi ipo kila sekta ktk nchi hii,, iwe kilimo, ufugaji, biashara!!
Yaani wapo wanaotajirika kutokana na biashara, uvuvi, kilimo na fani zingne,,, kila mkoa utakuta kuna watu wana maisha mazuri sana

Watu wanatoka mataifa ya mbali wanakuja kutafuta fursa nchini mwetu, wewe mleta mada unakaa kulaumu CCM unataka wakuletee pesa mtaani kwako au!???

Ipo siku utaibiwa mumeo na utakuja kuilaumu CCM

Tafuta pesa.. Ebho!!
 
Safi.Na ndio maana ya kuishi ,kama mwanaume unahangaika kutafuta Ili watoto wako waishi maisha mazuri kuliko ww.

kula maisha dogo na hakikisha mjukuu akukumbuke au kama unavyompenda babu yako...

Acha sisi tuendelee kulalamikia kuhusu Tozo😆
 
Back
Top Bottom