secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Tofauti ni kwamba ww huna hela.....Kumbe tuna birthday moja na huyo mjukuu
akina pangu pakavu......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ni kwamba ww huna hela.....Kumbe tuna birthday moja na huyo mjukuu
tatizo la wengi hapa tunaendeleza zile mentality za mtu kujenga nyumba ya bati mkaamua kumroga ili wote muendelee kuishi kwenye nyasi.Sisi walalahoi tunapigika na tozo za miamala, kesi za kigaidi na kodi ya nyumba kwenye luku.
CCM walaaniwe milele.
[emoji3]Watu hawakosi spana kwa kila mtu
Sisi walalahoi tunapigika na tozo za miamala, kesi za kigaidi na kodi ya nyumba kwenye luku.
CCM walaaniwe milele.
Ukitaka kujengewa Zahznati au shule... nenda ofisini kwa SSB na maombi yako utajengewa..tatizo la wengi hapa tunaendeleza zile mentality za mtu kujenga nyumba ya bati mkaamua kumroga ili wote muendelee kuishi kwenye nyasi.
Nimemsikia mtu mmoja akiongea jana yafutayo:
"...tunaenda kujenga shule na watasomea watoto wetu" wakati yeye watoto wake wanasoma shule za kigeni
"...haiwezekani miaka 60 tangu uhuru kuna sehemu hakuna zahanati" hajatwambia walioshindwa kujenga hizo zahanati na wanaotaka KATIBA MPYA au wanaoipinga.
SSB anafanya haya kwa uwazi maana moyo wake hauna makando mengi kama wengine wanaoigiza na kudanganya ili wawe mamilionea
HIVI bakhressa yupo chadema kweli eeee? ndiyo maana hajapigika kama sisiSisi walalahoi tunapigika na tozo za miamala, kesi za kigaidi na kodi ya nyumba kwenye luku.
CCM walaaniwe milele.
Tutakuaminije?Huyu mtoto anakujaga sinza kula cocaine alafu ni mdogo bado anasoma.
Mateja wanajuana sema kuna moja ataenda rehab clinic uswiss mwingine mwananyamalaTutakuaminije?
Watoto wa huyu mzee wanaishi bana wanaitumia vilivyo pesa ya baba yao na mjukuu nae kaanza itafuna.....Kupitia ukurasa wake wa Twitter mjukuu wa Bakhresa ametupia gari mpya aina ya Porsche aliyopatiwa na babu yake kama zawadi ya birthday.
Haya yametokea wakati kuna mabilionea wamesuasua kujinunulia kagari kama haka kwa bethidei kisa mapenzi ya timu ya mpira.View attachment 1900268View attachment 1900269
HanaAnaejua account ya Bakhresa ya mitandao ya kijamii anisaidie
Mkuu una uhakika?huyu dogo anaishi mbele hawez kula coca ya SinzaHuyu mtoto anakujaga sinza kula cocaine alafu ni mdogo bado anasoma.
,🤣🤣🤣Wewe mbona husimamii mali za familia yako?
Tafuta hela ili na wewe wanao waje kusimamia mali zako.
Ha ha ha ha ha 🤣🤣🤣🤣Mkuu kwa nchi ulivyoandika kwa uchungu im sure kungekuwa na kijani hapo jirani angekula mbata la nguvu huenda asingezinduka tena.
Hakika....Ccm walaaniwe kwa kipi ilhali fursa ya kutafuta na kutengeneza maisha mazuri ipo kila sehemu ya nchi ipo kila sekta ktk nchi hii,, iwe kilimo, ufugaji, biashara!!
Yaani wapo wanaotajirika kutokana na biashara, uvuvi, kilimo na fani zingne,,, kila mkoa utakuta kuna watu wana maisha mazuri sana
Watu wanatoka mataifa ya mbali wanakuja kutafuta fursa nchini mwetu, wewe mleta mada unakaa kulaumu CCM unataka wakuletee pesa mtaani kwako au!???
Ipo siku utaibiwa mumeo na utakuja kuilaumu CCM
Tafuta pesa.. Ebho!!
😲😲😲🤣'Firimason' hao 😀
😲😲😲😲😲😲😲Sisi walalahoi tunapigika na tozo za miamala, kesi za kigaidi na kodi ya nyumba kwenye luku.
CCM walaaniwe milele.