Bakhresa car collections

Acha tu man,uyo jamaa anamaisha makubwa...yale ya ndoto za wengi
 
Unazidi kumuongezea chuki Kenya
hao jamaa wana mbania sana
 
Mizigo ya bakhresa naiona karibia kila siku matrailer karibia 20 kwa mpigo. Yanapita Nairobi-Namanga highway. Sasa sijui mnamaanisha nini mnaposema wakenya wanawabania.
 
Shikamoo Alhaji SS Bakhressa mchango wako unaonekana si Tanzania bali Barani na DunianI.
**kuna uhusiano gani kati ya UTAJIRI na Uislam? Eg. Aliko Dangote, Mo Ibrahim, Mohammed Dewji n.k?
 
Shikamoo Alhaji SS Bakhressa mchango wako unaonekana si Tanzania bali Barani na DunianI.
**kuna uhusiano gani kati ya UTAJIRI na Uislam? Eg. Aliko Dangote, Mo Ibrahim, Mohammed Dewji n.k?
Open up your mind wewe boya, hakuna uhusiano wa dini na mafanikio
Nenda china , India wanaabudu ng'ombe, kuna siri kuu tatu acha uboya
1. Piga kazi
2. Piga kazi
3. Piga kazi
,
 
Wakristo wameshaanza ubaguzi kumuita Bakhressa mwarabu,waislam wanapigwa vita sana,angekuwa mkristo hapo ingekuwa kwatuuuu.
Mengi anaongrlewa na wala hapigwi mawe nna waislamu,muna roho kama za mashetani wenzenu ISRAEL.
 
Open up your mind wewe boya, hakuna uhusiano wa dini na mafanikio
Nenda china , India wanaabudu ng'ombe, kuna siri kuu tatu acha uboya
1. Piga kazi
2. Piga kazi
3. Piga kazi
,
Asante Boya mwenzangu. Ni ukweli mtupu Waislam ni watu waaminifu na wachapakaz kwenye biashara. Tofaut na ndugu zetu Wagala eg. Mzinzi wa Mikocheni
 
waislamu ndiyo matajiri tangu karne ya 18,na ndiyo wafanya biashara
Unalazimisha wazo lako mkuu ? Nimekwambia India watu wanaabudu Ng'ombe na ni matajiri wa kufa mtu
China ndo hawaijui kabisa hiyo kitu kuabudu
Wazungu wenyewe waliotuletea dini wakija huku wanatushangaa tunavyojua kuabudu maana mababu zao hawakuwarithisha dini, waliwarithisha mambo hayoo 3
1. Kupiga kazi
2. Kupiga kazi
3. Kupiga kazi
 
Wakristo wameshaanza ubaguzi kumuita Bakhressa mwarabu,waislam wanapigwa vita sana,angekuwa mkristo hapo ingekuwa kwatuuuu.
Mengi anaongrlewa na wala hapigwi mawe nna waislamu,muna roho kama za mashetani wenzenu ISRAEL.
Wakristo wangapi wameanza huo ubaguzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…