Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Ukiendelea kuajiriwa dukan kwa muhindi haya maisha hata yakumiliki kioski utaishia kuyaota tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mtu hutaki kujituma huwez kuondokana na umaskini ,uyo bakhersa analipa mishahara mizuri sana wafanyakaz wake...
ata ivyo lengo sio kua tajiri kwa kila mtu, wengine walau waweze kujikimu tu na mahitaji muhimu inatosha
waislamu ndiyo matajiri tangu karne ya 18,na ndiyo wafanya biashara
Kuwa tu muislamu utakua tajiriShikamoo Alhaji SS Bakhressa mchango wako unaonekana si Tanzania bali Barani na DunianI.
**kuna uhusiano gani kati ya UTAJIRI na Uislam? Eg. Aliko Dangote, Mo Ibrahim, Mohammed Dewji n.k?
Shemu langu, mambo!Ajabu kuu!
Shikamoo Alhaji SS Bakhressa mchango wako unaonekana si Tanzania bali Barani na DunianI.
**kuna uhusiano gani kati ya UTAJIRI na Uislam? Eg. Aliko Dangote, Mo Ibrahim, Mohammed Dewji n.k?
Mfalme wa Brunei Hujui kama NI mmoja wa MatJiri sana Duniani ? HUYO Talal bin Abdulaziz wa Saudi Arabia unajuwa utajiri wake WENYE NDEGE EMIRATES DUNIANI KOTE ZINAFIKA NIAMBIE NI WAKRISTO? HIVI MAFUTA HUJUI YANA UTAJIRI GANI DUNIANI? WAZUNGU WANATAKA MASIFA KUJIONA WAO Wako mbele KWA Taarifa YAKO INDIA KUNA MATAJIRI SANA KULIKO BILL GATES.
we jamaa unamwandiko mbaya sana...!!ebu weka list yako hapa!!Mfalme wa Brunei Hujui kama NI mmoja wa MatJiri sana Duniani ? HUYO Talal bin Abdulaziz wa Saudi Arabia unajuwa utajiri wake WENYE NDEGE EMIRATES DUNIANI KOTE ZINAFIKA NIAMBIE NI WAKRISTO? HIVI MAFUTA HUJUI YANA UTAJIRI GANI DUNIANI? WAZUNGU WANATAKA MASIFA KUJIONA WAO Wako mbele KWA Taarifa YAKO INDIA KUNA MATAJIRI SANA KULIKO BILL GATES.
Mmmh!!, Ina maana africa nzima nchi iliyoendelea ni cape verde????,, Acho que tenho que mudar para lá,,meanwhile other tanzanians hali ndio hii
![]()
Mfalme wa Brunei Hujui kama NI mmoja wa MatJiri sana Duniani ? HUYO Talal bin Abdulaziz wa Saudi Arabia unajuwa utajiri wake WENYE NDEGE EMIRATES DUNIANI KOTE ZINAFIKA NIAMBIE NI WAKRISTO? HIVI MAFUTA HUJUI YANA UTAJIRI GANI DUNIANI? WAZUNGU WANATAKA MASIFA KUJIONA WAO Wako mbele KWA Taarifa YAKO INDIA KUNA MATAJIRI SANA KULIKO BILL GATES.
Tumepoteana sana, nini.mbaya? Heri ya mwaka mpya shemShemu langu, mambo!
Its not about kujituma.Kama mtu hutaki kujituma huwez kuondokana na umaskini ,uyo bakhersa analipa mishahara mizuri sana wafanyakaz wake...
ata ivyo lengo sio kua tajiri kwa kila mtu, wengine walau waweze kujikimu tu na mahitaji muhimu inatosha
DEAD SERIOUS.Upo siriaz na hiyo coment au unatania???
Sijasema pull down Bakhresa.Haya yako ni mawazo ya kiujamaa, kuna mtu alinisimulia jinsi Bakhresa amepambana na maisha tangu akiwa fundi wa viatu (cobbler), aachwe afurahie jasho lake.
Halafu huyu Bakhresa amebuni nafasi nyingi sana za ajira na kuwasaidia vijana.
Na wewe umelipa kodi mkuu kwa kiwango chako pia umesaidia kujenga barabara hata umbali wa mita 2 hivyo usijinyanyapae mkuuPresumably amelipa kodi inayojenga barabara unazotumia.
Nipoo shemuTumepoteana sana, nini.mbaya? Heri ya mwaka mpya shem