Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida

Bakhresa muogope Mungu wako. Uwiano wa hasara ni mkubwa kuliko faida

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu. Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate. Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.

Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki, Korea na kwengineko.

Unawanyonya sana akina mama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio. Na kwa upande wa akina baba unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.

Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone. Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima basi wanaingia msikiti ni wachache sana.

Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai. Biashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
 
Nani hataki hela? Hata yule unayemsoma sana kwanza alioa boss wake lishangazi lenye hela kisha baadae akatafuta katoto.

Unadhani angeoa njaa kali ungekuwa unamsikia? Hela ya kusafiri uku na kule mwanzoni angetoa wapi. Na uzoefu wa safari za biashara ya mke wake ilimsaidia.
 
Katika historia ya utajiri wako ulianza kwa kushona viatu.Baadae ukaanza kuuza karanga na mikate.Allah kwa shani zake akakuzia biashara zako mpaka sasa unamiliki makampuni yaliyotanda nchi kadhaa za kiafrika na unajulikana dunia nzima kama mmoja wa matajiri wakubwa wa Afrika.
Utajiri wa viwanda vya ngano na vyenginevyo halali umeona havikutoshi umejiingiza kwenye biashara ya mpira na kupotoa watu kwa michezo ya kuigiza ya kipuuzi kutoka Uturuki,Korea na kwengineko.
Unawanyonya sana akinamama kiuchumi kwa kununua visembuzi vyako na kujaza salio.Na kwa upande wa akinababa unawajaza kwenye viwanja na mabanda ya kuangalia vidio mpaka wanakuwa kama wendawazimu kuangalia ligi mwaka mzima zinazofadhiliwa mpaka na makampuni ya bia.
Nasikia wewe ndiye uliyefadhili ujenzi wa msikiti mkubwa wa Mtoro karibu na nyumbani kwako pale mtaa wa Livingstone.Kuna na misikiti mengine umejenga kimya kimya na hata pitalu huwa unagawa nyakati za alfajiri.
Kwa hesabu za kidunia wale wanaongia msikitini kuswali Mtoro na wale wanaoacha kuswali kwa kuangalia mipira ya dunia nzima,basi wanaingia msikiti ni wachache sana.
Mezani ya wema unaofanya kujenga misikiti michache na kuwapotosha mamilioni ya watu havilingani kabisa.
Wacha biashara hizo haramu na urudi kwenye uchumi halali bado upo hai.Biiashara haramu waachie makafiri wazifanye.
Watoto na mali ni fitna sana.
Allahu a'alam,
Afya ya akili n tatzo kubwa inayo isumbua taifa hii ya Tanzania
 
Back
Top Bottom