Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 38
"Samahani sana wananchi, jeshi lenu la usalama wa barabarani jana tulikuwa bize na kikao cha kutathmini yaliyojiri katika ziara ya mkuu wa Woshingtoni. Tumemaliza na shughuli zitaendelea kama kawaida. Ila nawasisitizia madereva na watumiaji wote wa barabara kufuata sheria bila shuruti"
jiji la wenyewe hilo wanaliweza
kina sisi tujikaliage kimanzichana kwetu tu!!
hahahaaa pacha umeonaeee ngoja sie tuendelee kula kipupwe pembezoni mwa nchi
Mtuwache tupumue. Daslam yetu tunaijua wenyewe.
hahahaaa!!umeona eeee
huku kwetu raha,no joto,no foleni!!
Mtuwache tupumue. Daslam yetu tunaijua wenyewe.
hahahaaa!!umeona eeee
huku kwetu raha,no joto,no foleni!!