BAKWATA: Hatuutambui waraka wa Waislamu


Si kweli kuwa tabaka mbili hizi zilizokuwa zikijengwa kimyakimya zina matatizo sawwsawa. Utakuwa ni unafiki kwa Waislamu kuorodhesha UFISADI tu kuwa ndio tatizo kwao. Ufisadi wameusema na matatizo mengine yanayowakabili wameyasema. Kwani suala la mahakama ya Kadhi halikuongelewi na wasio waislamu?
Matatizo waliyoyaona Waislamu kuwa kwao ni matatizo yeyote anaetaka umoja wa Taifa hana budi kuyasikiliza na kuyatafutia utatuzi sio kuyakebehi kwani kufanya hivyo kutaleta mgawanyiko sio utengamano.
 
Hii imekaaje Wakuu! Hizi Takwimu zinapatikana Wapi?

Mazee utaumiza kichwa chako kuangaishana na hawa maamuma. Hawa dawa yao ni kuwa-ignore. Mimi sioni mtu anayeweza kuleta pumba kama hizi za hawa shura ya maimuna anawezaje kupata kaspace ktk jamvi letu tukufu la great thinkers? haiingii akilini.
 
I feel responsible to add one more comment, this troop of shura ya maimuna, if we don't watch them with open eyes, the next step they will be boko haram of Tz..I surely tell you and mark my words.
 

Hii ndio raha ya Uislam.
 
Mazee utaumiza kichwa chako kuangaishana na hawa maamuma. Hawa dawa yao ni kuwa-ignore. Mimi sioni mtu anayeweza kuleta pumba kama hizi za hawa shura ya maimuna anawezaje kupata kaspace ktk jamvi letu tukufu la great thinkers? haiingii akilini.

Maamuma ni wale wasiyo kuwa na busara. Akili ni mali, ujinga si crime; bali ni UJAHILI. Think about it.
 
Mwiba kama wewe ndiwe mchambuzi wa kisiasa wa kafu basi mmekwisha.
 
Sijui tumechanganyikiwa wenzetu wa makanisani wanaandika kupinga kuchagua viongozi mafisadi na kusisitiza kuchagua viongozi waadilifu Sasa sisi tunaenda kwenye maudini hii ni akiali kweli.......????????????
 
Totally lack of creativity.......!!!!why can't they even follow good examples of sending the kids to good schools for good education?
 
Hii ndio Tanzania bwana,kila siku tunaimbiwa nyimbo mpya ili watoto tulale,wakubwa wapate jinafasi,huwezi amini kwenye wanaopinga nyimbo hizi unaweza kukuta ndio macomposer wa hayo mashairi au maproducer,labda promoters,huenda distributors au ndio wanaozicheza gizani,ewe Makamba,Lipumba,Marmo,Kingunge na wenzenu embu kaeni kimya mpate ten percent yenu mkajinafasi na familia.Vyuo vikuu hizo album zenu za migomo hazina soko kwasasa mambo iko huku,embu kaeni chini mcompose kanyaraka kenu kazuuuuuuriiiii alafu msikilizie mauzo!!!
 
hao viongozi ni vipi? mbona barua ya wakatoriki kwa waumini wao na watanzania waliusoma fasta fasta na kuanza kulipuka ovyo ovyo? sasa huu wa waislamu kila mtu anadai hajausoma na ilihari wote wanaosema hivyo ni waislamu hashwa!
halafu ni vipi sasa wanasema wao ni wanasiasa na hawawezi kujadili mambo ya dini wakati wao ndio walioanza kupayuka juu ya waraka wa wakatoliki na kuupeleka kuujadili bungeni kwa fedha zetu walalahoi? hivi hawa viongozi wetu wakotimamu kweli?
 
This is a demonstration of short-sightedness on the part of the Council of Imams. It's a piety!


Mzee Puch haya ni matusi kwa Binadamu hasa Watanzania ambao uhuru wa kutoa maoni ni wa kikatiba...........Nadhani kuna haja ya kupata elimu ya Urai kwanza kabla ya kujiunga na Jamii forum.

Ahsante sana !
 
waraka huu umejaa malalamiko yasio na ufafanuzi wa kina. na sio mikakati ya kujikwamua.

Wakristo wanapendelewa, aje? Ila pia tunapaswa tuelewe kwamba nafasi hizi za uongozi zinahitaji kwenda shule na ukiangalia kwa ratio wakristo wameweka msisitizo mkubwa kwenye elimu na ndio kinachowasaidia.

Kikubwa hapo wanatakiwa waislamu kutia bidii kujenda mashule na wahakikishe yanatoa wlimu bora na sio kama zilivyo sasa hivi mfano mdogo ukiwa Sekondari ya Al Harmain
 
Kauli kama hizi zinaposemwa zinatolewa na 'viongozi' wa kisilamu inatilia mashaka makubwa, na kama hiki kikundi na kauli za namna hii ndio 'viongozi' inatia simanzi kujua hao waongozwaji wapo ktk hali gani, maana hii ni dhulfulkhali kwa kweli na watu kama hawa wanatakiwa wasipewe nafasi ya kupenyeza sumu yao ktk akili za watu, hasa za vijana.

 
Hii imekaaje Wakuu! Hizi Takwimu zinapatikana Wapi?
Nenda shirika la takwimu Tanzania. Vizuri zaidi uwe unavisit saba saba. Takwimu zinauzwa, ndio maana hutazikuta katika mtandao.

Ukipata takwimu halisi utapigwa na bumbuwazi, na kujua kuwa kuna wenye nchi na wengine ni wasindikizaji tu. Hasa katika maeneo ya kazi, uongozi n.k
 
Kalaga baho! Ndio wako na vijana. Huko nyuma si mwenyewe uliandika watu kama hawa ni wakuwapuuzia , au kumbukumbu yako ni ndogo?

Melikebu imeshaondoka hiyo, maana Kingunge alipowaambia waraka wa wakatoliki utaleta ushindani wa kidini hamkuelewa. Sasa hii ni part Gazeti, subiri waraka wa Wapagani, wabaguzi, akina mama, wazee na wamakabila. Kumekucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…