Asalaam Aleykum warahmatullahi wabarakatu.
Kwa heshima na Taadhima, nawaomba Baraza la malumaa pamoja na Mwenyekiti wao wauchunguze msikiti huu wa Kingo uliyopo Morogoro ambao hivi sasa upo kwenye ujenzi.Nawapongeza sana kwa hatua waliofikia.
Tatizo kubwa la msikiti huu pamoja na kuwa na imamu ,lakini haonekani kabisa kwenye swala ya Alfajiri kiasi cha kuwaachia watu ambao hawafikia kiwango cha kuwa Imam, pia hawaijui vizuri wala hawana CV za kuwa maimamu.Sisi tunaoswali alfajiri ndio tunaona.
Hata siku moja Imamu hajafika kutuswalisha.Basi hata angechagua Imamu msaidizi ili aindeshe swala hii muhimu.Hivi sasa Imamu anayetuswalisha anakuja ili apate sifa lakini hajafikia kuitwa Imamu.
Tunaogopa Allah asije kuzikataa swala zetu wakati wapo wanaofaa kuwa maimamu. sisi maamuma kwa kuwa tunamjua anayetuswalisha hana vigezo na hii sio fitinna wala chuki.
Hivyo nawaomba sana Bakwata na Mufti waliangalie swala hili.Tunajua msikiti huu unao maaustadh na masheikh wengi lakini kiutaratibu lazima Imamu atoe Rukhsa.
Mwisho tunaomba Bakwata makao makuu waje wenyewe kuthibitisha wa hadha Asalaalaam Aleykum warahmatullah wanarakatu.