LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
mbona unajititimua sana kujua mambo ya imani wakati nakuona hata definition ya imani ni nini unashindwa kueleza? Hebu kakojoe ulale, una akili ndogo huwezi kujenga hoja muruaImani inasema kila kitu kimeumbwa kwa makadirio!
Hilo haliwezekani.
Haya kwa upande wako wewe, mwenye akili uchwara,. Unda tu mtandao kama facebook,,,,!!!!