Wakilimsomitz
Senior Member
- Jul 1, 2023
- 134
- 208
kweli. nina mdogo angu tumemwambia asiende now yupo homeMapendekezo yaliyofuata baada ya hii vawlence ni batili [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli. nina mdogo angu tumemwambia asiende now yupo homeMapendekezo yaliyofuata baada ya hii vawlence ni batili [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Serikali haina dini..hii ni kwa mujibu wa katiba
Shida yenu nyingi waislam hua mnataka kuitanguliza dini yenu mbele hata kwenye mambo ambayo sio ya kidini, sasa swala la jeshi uanze kuingiza maswala mavazi yenu ya kiislamu ili iweje 🤔🤔 lile ni jeshi la Nchi sio jeshi la kiislam, na ndio maana nikasema kama mnaona zile Sheria za kule mafunzoni ni ngumu basi kaeni na watoto wenu msiwapeleke kule, ili mbaki kulinda hayo maadili yenu ya kidini, hata dini yenu inakataa watoto wa kike kuingia jeshini kuleNchi hii ni ya watu wote wa dini zote. Nilikua namjibu yule anaetulazimisha tuishi bila ya matakwa ya dini yetu kwasababu Sheria iko hivyo na kama hatuwezi tukahamie Afghanistan ambako sheria zao ni rafiki kwetu.
Ndio nae nikamjibu vile kwakua nafahamu ISLAMOPHOBIA wakiona au kusikia MWARABU chupi sehemu ya nyuma hua zinachafuka.
Si unajua bandari amepewa MWARABU aziendeshe na kuzisimamia? Sasa inakuaje hapo na ndio hatuwezi kuvumiliana Wala kustahamiliana, wahame tu nao waende hizo nchi.
acheni huo ujinga mambo ya majeshi yana uhsiano gani na imani za kijini.kama ndivyo basi hao vijana wa kiislamu wasiajiriwe jeshini.majeshi yana taratibu zake hata hivyo jkt haijaanza leo labda kwa nyinyi maselule ambao hamjapitia majeshi.Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
Kama huli kitimoto una kula mbuzi ni hiari. Hivyo hivyo kama JKT ni hiari na masharti yake huyawezi usiende tuu.Katika dini ya kiislamu wanawake hawaruhusiwi kunyoa nywele pia ni wajibu kwao kusitiri mwili mzima. Ukihitaji ushahidi unaeza patiwa sio ujinga kuzungumzia suala hili bali kuna group linaathirika kimyakiya
Hapo bado hata hakujui RTS ni nini? Mamamaee mshati una heshima yake bado kuna wana hao wana mkiki wao wa miezi 18. Kuna raha yake sana [emoji16]Kuna hii clip nimeiona huko mitandaoniView attachment 2654094
Tafuta dopper exercise uone ilivyo then kanusha hiyo kauli kuwa wanawake komando, au SAS kuna wana dada wawili walijiunga na pre-selection ila fuatilia waliishia wapi? Kuitwa commando usidhani ni jambo ambalo unapewa tu watu siku hadi wanapewa ile beret huwa machozi yanatoka.nenda chechenia uone wanawake wakiwa na nguo ndefu jeshini na ni makomandoo, nenda palestina nenda indonesia nenda afghan stan nenda pakistani kote huko wanajeshi wanawake wamevaa hejabu na wanauwezo wa kupigana na nchi za africa kwa masaa na kuteka nchi nzima bila kujumuishwa na wanaume ni wanawake tu, kunyolewa kipara sio kuwa utakuwa mwanajeshi mkakamavi kuvaa kaptula hakusaidii kuwa utajua mbinu za kivita nenda ka google jeshi la tanzania katika africa ni la ngapi kwa uwezo:View attachment 2680771
Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
nenda chechenia uone wanawake wakiwa na nguo ndefu jeshini na ni makomandoo, nenda palestina nenda indonesia nenda afghan stan nenda pakistani kote huko wanajeshi wanawake wamevaa hejabu na wanauwezo wa kupigana na nchi za africa kwa masaa na kuteka nchi nzima bila kujumuishwa na wanaume ni wanawake tu, kunyolewa kipara sio kuwa utakuwa mwanajeshi mkakamavi kuvaa kaptula hakusaidii kuwa utajua mbinu za kivita nenda ka google jeshi la tanzania katika africa ni la ngapi kwa uwezo:View attachment 2680771
Hujui kitu mh.
Katiba inasema kila mtu ana uhuru wa kuabudu nchi hii.
Mabinti zetu anakwenda jkt wana imani tofauti. Wengine kwao walistahili kuvaa uniform zinazoendanda na haki ya kikatiba ya uhuru wa kuabudu.
Kama katiba inatoa uhuru wa kuabudu. Ktk katiba hiyo isiyo na dini hivyo itikadi ya kutokuwa na dini kunaminya haki ya kuabudu; hivyo kipengeleke cha taifa kutokuwa na dini, kinakinzana na kipengele cha katiba cha uhuru wa kuabudu.
Hivyo kutokuwa na dini ni unconstitutional. Sijui kama unaelewa hilo.
Ndio maana tunahitaji dhana ya kuundwa kwa serikali ya dini zote.
Na kimsingi ndio maana halisi ya serikali kutokuwa na dini.
Kwa maana serikali isiyo na dini ni sawa na kuwa na serikali ya dini zote.
Jiulize tena; Kwa nini katika teuzi za watendaji hatuoni watz wenye asili ya Asia wakipata uteuzi.
Huoni kuwa huo ni ubaguzi.
Ndio Serikali isyo na dini ni ya kibaguzi.
Na bahati mbaya sana pamoja na kuwa wanajipendelea lkn hawana sifa wala uwezo wa kushika nafasi hizo.
Tafuta dopper exercise uone ilivyo then kanusha hiyo kauli kuwa wanawake komando, au SAS kuna wana dada wawili walijiunga na pre-selection ila fuatilia waliishia wapi? Kuitwa commando usidhani ni jambo ambalo unapewa tu watu siku hadi wanapewa ile beret huwa machozi yanatoka.
Japo haimaanishi nimewadharau hapana kuna majeshi yanakuwa na wanawake ambao kidogo wana mafunzo baadhi ya SF ila kufikia hatua za juu kabisa ni ngumu kutokana na mazingira na uhalisia wa mafunzo.
mafunzo ya jeshi si band za kaswidaNimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.
nenda chechenia uone wanawake wakiwa na nguo ndefu jeshini na ni makomandoo, nenda palestina nenda indonesia nenda afghan stan nenda pakistani kote huko wanajeshi wanawake wamevaa hejabu na wanauwezo wa kupigana na nchi za africa kwa masaa na kuteka nchi nzima bila kujumuishwa na wanaume ni wanawake tu, kunyolewa kipara sio kuwa utakuwa mwanajeshi mkakamavi kuvaa kaptula hakusaidii kuwa utajua mbinu za kivita nenda ka google jeshi la tanzania katika africa ni la ngapi kwa uwezo:View attachment 2680771
Tatizo hatujui rights zetu. Na hujui maana ya kuabudu.Jeshini huendi kuabudu unaenda kuitumikia nchi.
Inaonekana hujapita jeshini kabisa, waliopita wanaelewa hili
Binafsi i was there , na intake yangu ilikuwa na mchanganyiko wa kila dini, ila wote tulikuwa treated the same.
Kama ni muda wa kuabudu, uko muda maalumu unatengwa.
Ila mkirudi kwenye majukumu ya jeshi mnakuwa one team, jeshi si religious institution. It not civilian. Jeshi liko pale kulinda mipaka ya nchi not otherwise
Vitani una muda wa kusuka na kuvaa Hijab au Gagulo ?!!!Nimejaribu kufatilia uvaaji wa wa vijana wa kike wawapo JKT nimeona wananyolewa kipara then hijab huvuliwa vijana huvaa t shirt na kaputura.
Hili ni suala la kitaifa lakini lenye kugusa imani ya vijana wa kiislamu.
Naomba bakwata km chombo kinachosimamia mambo ya waislamu kulizungumzia jambo hili.