BAKWATA: Maulid Kitaifa yatasomwa siku ya Alhamis 04/09/2025 Korogwe Mjini. Mgeni rasmi ni Rais Samia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania, (BAKWATA), limewatangazia Waislamu na wananchi wote kwa ujumla kwamba Maulid Kitaifa yatasomwa siku ya Alhamis tarehe 04/09/2025 usiku katika uwanja wa Shule ya Msingi Mazoezi Manund, Korogwe Mjini mkoani Tanga.

Baraza la Maulid litafanyika siku ya Ijumaa tarehe 05/09/2025 katika ukumbi wa Lembeni Korogwe Mjini majira ya saa 9.00 - 11.00 jioni.

Mgeni Rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt Samia Sulhu Hassan Hivyo tarehe 05/09/2025 ni Siku ya mapumziko ya Maulid.

Mheshimiwia Mufti wa Tanzania Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana amewatakia waislamu na wananchi wote kwa ujumla Maulid njema.

#KitengeUpdates
 
Mgeni Rasmi aha 😆 😅 Kupindi Cha Kampeni anaenda Kama nani? Crazy idea
 
Back
Top Bottom