BAKWATA: Maulid kusomwa usiku wa tarehe 18/10/2021 hivyo tarehe 19/10/2021 ni mapumziko

BAKWATA: Maulid kusomwa usiku wa tarehe 18/10/2021 hivyo tarehe 19/10/2021 ni mapumziko

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Wakuu salaam,

Taarifa rasmi kuhusu maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid mwaka huu. BAKWATA wanafafanua kuwa itasomwa usiku wa leo hivyo kesho inakuwa ni mapumziko. Hii hapa chini ni barua yao kuthibitisha taarifa hii

1634549501022.png
 
Sikukuu kwa waislam ni mbili tu
Eid ul fitri na
Eid ul adhha,
#waislamsiowavivu
 
Hivi hii ni kweli
 

Attachments

  • 20220710_223311.jpg
    20220710_223311.jpg
    40.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom