Suley2019 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2019 Posts 2,203 Reaction score 5,610 Oct 18, 2021 #1 Wakuu salaam, Taarifa rasmi kuhusu maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid mwaka huu. BAKWATA wanafafanua kuwa itasomwa usiku wa leo hivyo kesho inakuwa ni mapumziko. Hii hapa chini ni barua yao kuthibitisha taarifa hii
Wakuu salaam, Taarifa rasmi kuhusu maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid mwaka huu. BAKWATA wanafafanua kuwa itasomwa usiku wa leo hivyo kesho inakuwa ni mapumziko. Hii hapa chini ni barua yao kuthibitisha taarifa hii
Hadrianus JF-Expert Member Joined Feb 19, 2020 Posts 2,112 Reaction score 5,229 Oct 18, 2021 #2 Maulid
3 Angels message JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 5,350 Reaction score 15,426 Oct 18, 2021 #3 Hii ndiyo sherehe ya birthday ya Muhammad? Kuna wanazuoni huwa wanaipinga sana
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Oct 18, 2021 #4 Sikukuu kwa waislam ni mbili tu Eid ul fitri na Eid ul adhha, #waislamsiowavivu
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,283 Jul 10, 2022 #5 Hivi hii ni kweli Attachments 20220710_223311.jpg 40.9 KB · Views: 4
Kila Mbongo JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 308 Reaction score 435 Jul 10, 2022 #6 Mwanakwetuuu said: Hivi hii ni kweli Click to expand... Sheria imebadilishwa kwa sasa...hivyo sio kweli.
Mwanakwetuuu said: Hivi hii ni kweli Click to expand... Sheria imebadilishwa kwa sasa...hivyo sio kweli.
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,283 Jul 10, 2022 #7 Kila Mbongo said: Sheria imebadilishwa kwa sasa...hivyo sio kweli. Click to expand... Thanks