DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Morogoro limeunga mkono agizo la Serikali ya Awamu ya Sita kutaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza vifo vilivyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
.
Sheikh wa Mkoa huo, Twaha Kilango, amesema uchunguzi wa haraka unahitajika ili kulinda misingi ya umoja, amani na mshikamano wa Taifa.
.
Sheikh wa Mkoa huo, Twaha Kilango, amesema uchunguzi wa haraka unahitajika ili kulinda misingi ya umoja, amani na mshikamano wa Taifa.