Kiongozi wa jopo awe mwanasheria nguli KatugaAtakayechunguza nani?
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Morogoro limeunga mkono agizo la Serikali ya Awamu ya Sita kutaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza vifo vilivyotokea baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29.
.
Sheikh wa Mkoa huo, Twaha Kilango, amesema uchunguzi wa haraka unahitajika ili kulinda misingi ya umoja, amani na mshikamano wa Taifa.
Oya uchunguzi hauwezi kufanywa na alieratibu mauaji tusifanyane wajinga.. yaan nyani kashikwa na kesi ya .... halafu uchunguzi wa kesi unampelekea nani ngedere wakati wote wapo kundi moja unategemea nini hapo?Kiongozi wa jopo awe mwanasheria nguli Katuga
Mama alishatoa hukumu akisema ni vikundi vya kihalifu na watu kutoka nchi jiraniKiongozi wa jopo awe mwanasheria nguli Katuga
acha porojo, upotoshaji na ushirikina gentleman.Yaan sijawahi sikia BAKWATA wanatoa Waraka wowote ,angalau hata Pole kwa walofiwa Oktoba 29.
Bado tu mnawaamini Hawa Bakwata ???. Waloshindwa kulinda Haki za Uhai za Waumini wao??.
BAKWATA ambao wanalípwa mishahara na Serikali, Wanapewa Ulinzi na Serikali, Bima, ELIMU , Majumba ,Magari na Serikali??.
Yaani nasema na wewe Kijana hapo, uliyeuliwa Kaka yako katika Maandamano alipokua anadai AJIRA, hivi nawewe unakaa kiwasilikiza BAKWATA ????.
Mungu wangu nayemuamini anachukia UOVU, hawezi kukubali Uhai anaoutoa , uondolewe na Binadamu.acha porojo, upotoshaji na ushirikina gentleman.
Amini Mungu Pekee na sio ushirikina mwingine 🐒
kulikoni unawaambia vijana masuala ya kuamini mambo ya kidunia kama sio ushirikina huo gentleman?Mungu wangu nayemuamini anachukia UOVU, hawezi kukubali Uhai anaoutoa , uondolewe na Binadamu.