Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Jana nilisoma ujumbe wa Sheikh mkuu kuwa mwezi haujaandama na kwa mawasiliano ya (wenzetu) kutoka sehemu jirani ikasemwa Kenya, Uganda na Zanzibar kuwa hakuna taarifa ya mwezi ila cha kushangaza hao jiraniz wanasherehekea sikuukuu ya Eid leo.
Inasemekana kufunga siku ya Eid ni dhambi sasa hapa inakuwaje? Nani ka edit sheria Saudia au BAKWATA?
Inasemekana kufunga siku ya Eid ni dhambi sasa hapa inakuwaje? Nani ka edit sheria Saudia au BAKWATA?