Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Bakwata wahujumu
BAKWATA ni mojawapo ya Jumuiya ya Fisiemu. Yani kama UVCCM na UWT. Lazima wafuate maagizo kutoka juu...Jana nilisoma ujumbe wa Sheikh mkuu kuwa mwezi haujaandama na kwa mawasiliano ya (wenzetu) kutoka sehemu jirani ikasemwa Kenya, Uganda na Zanzibar kuwa hakuna taarifa ya mwezi ila cha kushangaza hao jiraniz wanasherehekea sikuukuu ya Eid leo.
Inasemekana kufunga siku ya Eid ni dhambi sasa hapa inakuwaje? Nani ka edit sheria Saudia au BAKWATA?
Rwanda, Burundi, Kenya na Uganda wote hao majirani zetu leo wanaifinya pilau leo. Mufti wa Bongo kala rushwa ya chama kikongweBurundi nao kwao ni Eid
Hawa wa kwetu hata uwape darubini bado watabisha
Wako vizuri kwa sababu wako sawa...Jana nilisoma ujumbe wa Sheikh mkuu kuwa mwezi haujaandama na kwa mawasiliano ya (wenzetu) kutoka sehemu jirani ikasemwa Kenya, Uganda na Zanzibar kuwa hakuna taarifa ya mwezi ila cha kushangaza hao jiraniz wanasherehekea sikuukuu ya Eid leo.
Inasemekana kufunga siku ya Eid ni dhambi sasa hapa inakuwaje? Nani ka edit sheria Saudia au BAKWATA?
Pande zoteSasa hapo dhambi tunapata sisi maamuma/waumini au dhambi linapata baraza manake kufunga siku ya eid si ndi dhambi?
Bakwata wapo sawa maana M/Mungu amesema fungeni mkiuona mwezi na fungueni mkiuona mwezi, hajasema fungeni mkiuona mwezi na fungueni msipo uona mwezi.Jana nilisoma ujumbe wa Sheikh mkuu kuwa mwezi haujaandama na kwa mawasiliano ya (wenzetu) kutoka sehemu jirani ikasemwa Kenya, Uganda na Zanzibar kuwa hakuna taarifa ya mwezi ila cha kushangaza hao jiraniz wanasherehekea sikuukuu ya Eid leo.
Inasemekana kufunga siku ya Eid ni dhambi sasa hapa inakuwaje? Nani ka edit sheria Saudia au BAKWATA?
Sehemu nying za Tanzania sasa hivi mvua zinanyesha na Hali ya hewa ni mawingu huo mwezi unauonaje?Bakwata wapo sawa maana M/Mungu amesema fungeni mkiuona mwezi na fungueni mkiuona mwezi, hajasema fungeni mkiuona mwezi na fungueni msipo uona mwezi.