BAKWATA mnajisikiaje kuwa wa pekee kwenye masuala ya miandamo ya mwezi?

Bakwat
Bakwata inamtumikia alioianzisha kwatafsri ni baraza kuu lawaislam Tanzania lakini uongozi mzima nizehebu moja kwahiyo lazima wamtumikie aliowapa
 
Dunia ya sasa huhitaji kuona mwezi kwa macho ya nyama ndo ufungue.. badilikeni.
Wewe unataka wabadilike kwa mawazo yako ila sio matakwa ya M/Mungu, wame teremshiwa kitabu kina maelezo yote na sio mawazo kama yako, kinachotakiwa ni maandishi yana elekeza vipi uyafate bila kuongeza ka ufundi
 
Ok... jana mmefungulia, mmeuona mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…