Naona kingwendu na chamia na chawa wameona miti yote inatereza hivyo wanajarabu kupoza mamboBaraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Tabora limepiga marufuku wahubiri na wahadhiri wa kiislamu kutoa matamko yanayoweza kuzua taharuki kufuatia vurugu zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29.
Akizungumza wakati wa sherehe za Watoto waliohitimu mafunzo ya Quran Mkoani Tabora Shekhe wa mkoa Ibrahimu Mavumbi amesema maelekezo ya dini yatatolewa tu kupitia ofisi ya BAKWATA.
"Kwa sasa hivi waumini na wahadhiri wa dini ya kiislaamu wasitoe maelekezo ya aina yoyote wala matamko ambayo yatapelekea taharuki kwa Umma wa kiislaamu na wakazi wa mkoa wa Tabora, kama kutakuwa na maelekezo ya Waislamu basi yatahusu ofisi ya BAKWATA" amesema Shekhe Mavumbi
WATOE TU MATAMKO ILI UPUMBAVU WAO UZIDI KUJILIKANA MBELE HATA YA WAISLAMU WENZAO ...MAANA SISI TUKISEMA UKWELI TUNAONE KANA TUNA CHUKI NA HIYO DINI ILA SASA WAISLAMU WENYEWE WAMEANZA KUSHIHUDIA ..Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Tabora limepiga marufuku wahubiri na wahadhiri wa kiislamu kutoa matamko yanayoweza kuzua taharuki kufuatia vurugu zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29.